Kaacha ofisi kaenda kwenye ziara ya Waziri Mkuu

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,155
Reaction score
2,704
Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye

Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama.

Wakati huo aliwahi kununulia Tablets ya 4,000,000 ili iweze kumrahisishia majukumu yake akiwa nje ya ofisi, nafikiri ile Tablet alimwachia mtoto wake aangalizie katuni.

Nchi mbovu hii ndio maana kina Mwigulu wanakagua milango na wengine wanaacha wananchi ofisini wanaenda kuongoza magari barabarani
 
....Kama unamjua.. mtaje...×2.
Pengine ana ngekewa ya Ma-CCM..

CCM yote ni hatari sana Kwa Uchumi wa Tanzania
 
Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye

Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama.

Wakati huo aliwahi kununulia Tablets ya 4,000,000 ili iweze kumrahisishia majukumu yake akiwa nje ya ofisi, nafikiri ile Tablet alimwachia mtoto wake aangalizie katuni.

Nchi mbovu hii ndio maana kina Mwigulu wanakagua milango na wengine wanaacha wananchi ofisini wanaenda kuongoza magari barabarani
Unamchongea mkuu wako wa idara?
 
porojo nonsense hii gentleman
 
Back
Top Bottom