NakaziaJina lake ni nani sasa? Mtaje
....Kama unamjua.. mtaje...×2.Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye
Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama.
Wakati huo aliwahi kununulia Tablets ya 4,000,000 ili iweze kumrahisishia majukumu yake akiwa nje ya ofisi, nafikiri ile Tablet alimwachia mtoto wake aangalizie katuni.
Nchi mbovu hii ndio maana kina Mwigulu wanakagua milango na wengine wanaacha wananchi ofisini wanaenda kuongoza magari barabarani
Unamchongea mkuu wako wa idara?Huyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye
Huko alipo hafanyi kazi yoyote zaidi kukaa kwenye V8 na kutumia mafuta kwa kodi za Wananchi,
Hawezi kupitisha kitu chochote kwenye mfumo kinachomhitaji apitishe so mambo yamesimama.
Wakati huo aliwahi kununulia Tablets ya 4,000,000 ili iweze kumrahisishia majukumu yake akiwa nje ya ofisi, nafikiri ile Tablet alimwachia mtoto wake aangalizie katuni.
Nchi mbovu hii ndio maana kina Mwigulu wanakagua milango na wengine wanaacha wananchi ofisini wanaenda kuongoza magari barabarani
porojo nonsense hii gentlemanHuyu boss kaacha ofisi anazunguka na waziri mkuu, hajataka kumwachia mtu majukumu kwa mda, anataka kote awe yeye