Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,238
- 1,812
- Thread starter
- #21
Hata mimi mwenyewe nimeshangaa ujasiri huu kaupata wapi.Dah ! Dunia ina watu wenye ujasiri. Yaani unamuacha mtu uliyedumu nae miezi kadhaa tena ukiwa na kiumbe wake kwa ajili ya mwanaume uliyekuwa nae kwa wiki tena ukiwa na kiumbe cha mtu mwingine tumboni.
Sioni huyu dada akiwa na mwisho mzuri. This i guarantee you. Atakuja kukulia when it's too late.