Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh sijawahi kuona mimba za hadi kucheat aisee, yani kaamua kuwa na bwana mwingine kisa mimba? duhNi kweli mabadilko ya hormones yanaweza kumfanya mwenye mimba yako akuchukie na kuhama nyumbani mpaka atakapo jifungua.....
Na mengineo mengi.....
Nenda naye atakavyo kwa sasa....kulinda afya ya mtoto....
mmh sijawahi kuona mimba za hadi kucheat aisee, yani kaamua kuwa na bwana mwingine kisa mimba? duh
labda kama tumeelewa tofauti, ila mimi nilivyoelewa ni kamba walikuwa tayari wana mawasiliano mpaka jamaa akamkataza kumbe waliendelea, hvi kweli mtu mmeachana leo baada ya wiki anakwambia yupo na jamaa waliokuwa wanawasiliana nae, mmh hapana kwa kweliSidhani kama ame msaliti ...amemalizana Naye ndio akaanzisha mahusiani mengine.
Nina shuhuda ndio maana nikasema wengine wanahama nyumbani...(walikuwa kwenye ndoa)....mpaka anapojifungua....
Sababu ni walitokea kuwachukia na kukasirishwa na Waume zao kwenye vitu vidogo sana......ila kero zilikuja potea baada ya kujifungua....
labda kama tumeelewa tofauti, ila mimi nilivyoelewa ni kamba walikuwa tayari wana mawasiliano mpaka jamaa akamkataza kumbe waliendelea, hvi kweli mtu mmeachana leo baada ya wiki anakwambia yupo na jamaa waliokuwa wanawasiliana nae, mmh hapana kwa kweli
Wewe huna any scientific means as per now to prove beyond reasonable doubt kwamba mimba ni yako. Achana na kung'ang'ana na vitu vya kitoto chapa lapa tafuta wanawake wengine.....Demu alikuwa anawachezea double action sasa mchzi kasomeke zaidi yako wewe chapa lapa.Kwa mazingira ninayoyafahamu najua ni yangu, labda kama kuna namna nyingine nisiyoijua
Sawa mkuuWewe huna any scientific means as per now to prove beyond reasonable doubt kwamba mimba ni yako. Achana na kung'ang'ana na vitu vya kitoto chapa lapa tafuta wanawake wengine.....Demu alikuwa anawachezea double action sasa mchzi kasomeke zaidi yako wewe chapa lapa.
Nitaleta mrejesho, baada ya miezi 5 kutoka sasa, kama amezaa ama la, maana simuelewi elewi, bado namtazama.Ndio mapenzi ya sasa...alimtamkia tumeachana......mwenzake akadhani utani sio....
Ningependa atuletee mrejesho mambo yakibadilika wengine tujifunze hapo.
Kuna wanaume wenzetu ni wajinga sana.
Ukimfata fata sana mtu anapata bichwa cool down niggaNi kweli usemavyo.
Ngoja nivute subira.
kuna wanaume ni wa pole sana jaman hongera sana ila utandeshwa kama gari bovu mpaka uyo mtot azaliweIlikuwa ngumu mkuu kupotezea akiwa na kiumbe, ambacho nina imani ni changu, ila hii ya sasa hivi naona imezidi kipimo.
Kuwa mvumilivu ujauzito unatubadilisha sana wanawake......
Subiria mtoto azaliwe ndio ufuate sheria.....
Kama kuhakikisha jina lako liko kwenye cheti za mtoto......mengine yatafuata.
Usiache kuhudumia kwa sasa....
[emoji846][emoji846][emoji846]Ahudumie nini Sasa wakati mwanamke ni kisirani? Huyu mwanamke hajakutana na wanaume watata. Halafu acheni kuwa mnasingizia eti mimba inamuendesha. Mimba haibebwi kichwani.