Hata mimi mwenyewe nimeshangaa ujasiri huu kaupata wapi.Dah ! Dunia ina watu wenye ujasiri. Yaani unamuacha mtu uliyedumu nae miezi kadhaa tena ukiwa na kiumbe wake kwa ajili ya mwanaume uliyekuwa nae kwa wiki tena ukiwa na kiumbe cha mtu mwingine tumboni.
Sioni huyu dada akiwa na mwisho mzuri. This i guarantee you. Atakuja kukulia when it's too late.
Daah kweli ujauzito unaweza kumfikisha mtu katika step hii? Basi kama ni hivyo hii ni hatari.
Don't take seriouslyDon't take a serious every word from woman ,unauhakika kwamba anamtu mwingine? kama anae how you can prevent it? Cha msingi mtafute ukimkumbuka mtimizie anachokitaka, Fanya mambo yako ya muhimu,
Uvumilivu huo wa vp tena na kombe lake linaondoka, kbaya n wk m2 tu je hio miezi m5 iliyobakiKuwa mvumilivu ujauzito unatubadilisha sana wanawake......
Subiria mtoto azaliwe ndio ufuate sheria.....
Kama kuhakikisha jina lako liko kwenye cheti za mtoto......mengine yatafuata.
Usiache kuhudumia kwa sasa....
Huyo Dada hakuheshimu hata kidogo. Kama ana ujasiri wa kukuambia hawezi kukutambulisha nyumbani kwao maana take huna hadhi ya kuwa naye.Kwa mazingira ninayoyafahamu najua ni yangu, labda kama kuna namna nyingine nisiyoijua
Ni kweli mkuu, pengine kakwepa ili amtambulishe mwenye hadhi atakayo, ndio aonekane.Huyo Dada hakuheshimu hata kidogo. Kama ana ujasiri wa kukuambia hawezi kukutambulisha nyumbani kwao maana take huna hadhi ya kuwa naye.
Mwanamke ambaye hajisikii fahari kuwa na wewe basis fahamu ukimpa mgongo atafanya vitu vingi vyenye ukakasi dhidi yako.
Nakushauri kubali matokeo achana naye. Umejitahidi kadri ya uwezo wako ila amekukataa. Ila usishangae huko mbeleni akarudi kwako analia.
POINTDon't take a serious every word from woman ,unauhakika kwamba anamtu mwingine? kama anae how you can prevent it? Cha msingi mtafute ukimkumbuka mtimizie anachokitaka, Fanya mambo yako ya muhimu,
Yaan hiyo ni Golden ChanceKuna wanaume wenzetu ni wajinga sana.
Kwaiyo nikubari wakapige machine kwingineKuwa mvumilivu ujauzito unatubadilisha sana wanawake......
Subiria mtoto azaliwe ndio ufuate sheria.....
Kama kuhakikisha jina lako liko kwenye cheti za mtoto......mengine yatafuata.
Usiache kuhudumia kwa sasa....
Sababu ya huyo dada kushindwa kukupeleka kwao ni nini!!??Nitafuatilia zaidi mkuu
Jamaa atakuwa ni muumini wa dini pendwa au Bongo Fleva/Movie choka mbaya. Ndio maana dada ana hofu kuuSababu ya huyo dada kushindwa kukupeleka kwao ni nini!!??
Nashindwa kuelewa hata huyu jamaa anakwamia wapi, mimi mwanamke aniambie Sikutaki tuachane! Wala hata siulizi, mbaya zaidi akileta ushenzi unaopelekea kuleta maana ya Huna Hadhi ya kuwa na mimi, wala siwazi mara mbili.Kuna wanaume wenzetu ni wajinga sana.