Kabakwa live

Aisee Michelle ulinistua sana....nlivoona umekomenti nkajua mjukuu wangu ulibakwa live.... Ningekunywa thumu athee!

Mungu apitishe mbali.....mzima Babu? mii miss you!!!
 
aisee
 
Kama maana ya KUBAKA ndo hii, basi waliotunga sheria za kuadhibu wabakaji hawana akili sawasawa.
 
Can I come with you! If I may ask .....:rain:
Ooo
h dear,leo nimekubamba humu.No ntakwenda kwa pikipiki cc 250 ya JAPAN kwa kasi ya 110 km/h ntakudondosha bure hujazoea hii.Upepo wa pikipiki ukinipiga asubuhi huniondolea tensions na uchovu niupatao hunipa usingizi mzuri jioni.
 
Nitakuwa nimevaa Helmet haina shida hata nikianguka! Nitakuwa nimekushikiria kiunoni kwa nguvu

ona kama hiii

nipo poa ile mbaya,kesho naisubiri kwa hamu asubuhi ntaenda monduli kurelease tension by saa tatu ntakuwa nimesharudi.

Safari njema Marytina wangu....umsalimu eeeh!!!:wink2:
 
Nitakuwa nimevaa Helmet haina shida hata nikianguka! Nitakuwa nimekushikiria kiunoni kwa nguvu

ona kama hiii

mimi ntakuwa naendesha kwa hiyo mbona umevaa kiajabu hapo nyuma kama mdada hivi.Utanipunguzia spidi kwa uzito nataka niwe kasi hiyo 110km/h hata kwenye kona.
 
Safari njema Marytina wangu....umsalimu eeeh!!!:wink2:
sina wa kuwasalimia huko labda wa his ethic group, huwa nafanya hizi safari once per month napenda kweli huu mchezo wa pikipiki
 
sina wa kuwasalimia huko labda wa his ethic group, huwa nafanya hizi safari once per month napenda kweli huu mchezo wa pikipiki

sikumaanisha huko uendako,popote alipo,msalimu tu shemeji yangu.....vipi kozi ya lugha inaendeleaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…