Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Kwamba hujui kama Palagamba Aidan Kabudi aliwahi kusema Gwanda was declared dead!
Wakionekana atakua mahindi wa Karne
Wasipoonekana atabakia kuwa mahindi wa Karne pia.

Ushindi wa kwanza ni kamba amechochea kurejeshwa uraiani watu walikwisha katiwa tamaa kuwa wamepotea hivyo familia zao na wapendwa wao watarudishiwa furaha iliyopotea.

Ushindi wa pili ni kwamba ulimwengu na vizazi vijavyo vitabaki na kumbukumbu kwamba paliwahi kuwa na utawala chini ya Mtu aliyeitwa Magufuli ambao ulihusika kunawa damu zisizo na hatia. Hakika uovu huo utaambatana nao hata kizazi Cha nne
 
Itakuwa kazi iliyozaa matunda.
 
Ungemskiliza kwanza ile clip yake - kaeleza vzr sana na anauhakika wa kile alichokiandika.
 
Msikate tamaa mapema kabla hamjaiona miili yao au uchunguzi rasmi na huru haujafanyika.
Lolote linaweza kutokea, miujiza inaweza kutokea.
Haiwezekani hiyo hao jamaa hawapo na miili haitokuja kupatikana tena.
 
Msikate tamaa mapema kabla hamjaiona miili yao au uchunguzi rasmi na huru haujafanyika.
Lolote linaweza kutokea, miujiza inaweza kutokea.
Unaujua mto rufiji Wewe,watatoka kwenye midomo ya mamba,kama Yona kwa Ngunguni?!Hukuanza mwanzo kusoma?
 
Njaa tu na uroho wa utajiri. Kwanza akanushe kama sio kweli alikua akipokea fedha kutoka nje ya nchi na kuzigawa kwa waandishi wa habari waliyokua wamepewa kazi ya kumchafua na kumzulia uongo Magufuli.
 
Njaa tu na uroho wa utajiri. Kwanza akanushe kama sio kweli alikua akipokea fedha kutoka nje ya nchi na kuzigawa kwa waandishi wa habari waliyokua wamepewa kazi ya kumchafua na kumzulia uongo Magufuli.
Mtafute Ben Saanane na Azory Ngwanda kwa hela yako ukiwapata nitakulipa mara kumi ya ulichokitumia. Maana mnataka mpaka mpigwe shaba ndio mpate akili.
 
Hoja iliyopo sasa sio Ben na Azory ni marehemu au la. Hoja liyopo ni ushahidi kuwa marehemu ndiye aliyewaua marehemu
 

Labda waje na Magufuli
 
Atapeleka lawama zote kwa hao informers wake

Huyu bwana anadai alisimuliwa tu na watu kutoka serikalini na pia upande wa upinzani kwamba hao watu walipigwa shaba na kutupwa mto Rufiji ili maiti zao ziliwe na mamba
View attachment 3191564
Nimeona hapo anasema Azory mwili wake ulilishwa na mamba mto Rufiji
 
Kabla hujakanusha Taarfa
Embu njoo na fact zenye logic
(Ni muda gan umepta tangu hon.MGFL amekufa hadi sasa hawajatokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…