Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Tukiacha utani Tanga Mjini ila usivuke Muheza ukivuka unakutana na Tate nane!
Hapo sijui wana maanisha nini nilikutana na msambaa wakati naichakata papuchi yake hilo neno lilitawala mwanzo mwisho nika muuliza ulikua una maanisha nini hakunijibu akawa anadoa macho tu amechoka hatari.
 
Huenda ni kama Mayo nene Kisukuma
 
Ukisikia sauti zinazo mtoa nyoka pangoni ndio hizo [emoji3][emoji3]
 
Mnataka kutududimiza zaidi...tuacheni tuna machungu jamani .tujifariji hata huku[emoji24][emoji24]...the fall of Sukuma[emoji24]...nipe hata pole ya hela basi jamani....John jiran yangu[emoji847][emoji2960]
Kanywe soda pepsi nitakilipia mkuuu tupoze machungu [emoji24][emoji24]Ila hawa watakuja kusema tu wasukuma walitoa jembe likafanya maajabu makubwa.
 
Lafudhi ya tanga ni habari nyingine demu wa kichaga akiongea tu unakosa mood ya kumtongoza ila tanga na zanzibar hata awe mbaya akiongea tu anakuvutia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…