Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
 
Unaoa ntu/binadamu mwenye utashi, experience, imani, background, feelings, ndoto, matarajio, nk kiongozi sio kabila, kila jamii ina wabaya na wazuri so akili kichwani kwako!
 
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Unaangalia tacle????
 
Jaribu wasukuma wale wa kijijini utanipa mrejesho

Sema hao wana afadhali wakiolewa na wasukuma wenzao ndio wanakuwa na adabu lakini wakiolewa na mkabila baki wana sum us sana.
Na wanakuwa ana ushirikina pia.
Wakiolewa na Kabila baki huwa wanatakata Mwanaume ufanye kila kitu hadi kunyonyesha mtoto hata usiku akiamka mtoto yeye hajali ni wewe Mwanaume ujue cha kufanya.
Ni huzuni na masikitiko makubwa.
Wanawake wanapataga wanaume wazuri kisha wanawaharibu wenyewe.
Mwanaume wa hivyo akichoka mwanamke utasanda.
 
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Konde ladies ni njema sana, alternative ni Ngoni na Hehe
 
Sema hao wana afadhali wakiolewa na wasukuma wenzao ndio wanakuwa na adabu lakini wakiolewa na mkabila baki wana sum us sana.
Na wanakuwa ana ushirikina pia.
Wakiolewa na Kabila baki huwa wanatakata Mwanaume ufanye kila kitu hadi kunyonyesha mtoto hata usiku akiamka mtoto yeye hajali ni wewe Mwanaume ujue cha kufanya.
Ni huzuni na masikitiko makubwa.
Wanawake wanapataga wanaume wazuri kisha wanawaharibu wenyewe.
Mwanaume wa hivyo akichoka mwanamke utasanda.
Ni wachache sana wapo hivyoo
 
Back
Top Bottom