Optimist_Tz
JF-Expert Member
- Jan 11, 2024
- 1,678
- 2,004
Konde ladies ni njema sana, alternative ni Ngoni na Hehe
Wamakonde ni kama wairak na wasingida wanakwambia kunnyima ntu dhambi.
Wanagawa kwa yeyote K
Na ushirikina ndo usiseme
Konde ladies ni njema sana, alternative ni Ngoni na Hehe
Ni wachache sana wapo hivyoo
Hawagawi indiscriminately, lazima kuwe na uhitaji (upwiro)Wamakonde ni kama wairak na wasingida wanakwambia kunnyima ntu dhambi.
Wanagawa kwa yeyote K
Na ushirikina ndo usiseme
Wewe kabila gani kwanza tujue kama mwanamke aweza faa kuolewa na hilo kabila lakoYaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Wowa Wowote!Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Dah ni loli waamba kindo mwanamaeNikaoe zangu hapo rombo mashima, kwa kina tengia.. nitulie
Ngakomana na vanamayakwa kunu ngekunda sana,Dah ni loli waamba kindo mwanamae
Ngakomana na vanamayakwa kunu ngekunda sana,
Chavaki bung'a 😂 au braza eeh
Nangisha mnu. Umealika au ni kaindi ukundi ialika hvo mashimaNgakomana na vanamayakwa kunu ngekunda sana,
Chavaki bung'a 😂 au braza eeh
Bado ngimealika kwi, mekuNangusha mnu
Nangisha mnu. Umealika au ni kaindi ukundi ialika hvo mashima
Umeiweka vzuri chifu !,,Haya sie ni washauri wa jamii.
Wanakuwa na adabu kwa wasukuma wenzao sababu ya desturi Mwanaume wa kisukuma ako na masculinity behavior hawacheki na wowote , sasa akiolewa na mkabila wakorofi sana unless Mwanaume mkabila nae awe ni wa masculinity kaliba lakini ukiwa nyoronyoro wata kuendesha kama gari bovu mputamputa.
Imagine wanawaambia wanaume zao nyonyesha mtoto , Kisha mtoto, k afanye vile na hivi ??!
Kuwowa ndo kufanyaje mwanetu?Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
TataaaaWakurya
Wewe ni muongo sanaHaya sie ni washauri wa jamii.
Wanakuwa na adabu kwa wasukuma wenzao sababu ya desturi Mwanaume wa kisukuma ako na masculinity behavior hawacheki na wowote , sasa akiolewa na mkabila wakorofi sana unless Mwanaume mkabila nae awe ni wa masculinity kaliba lakini ukiwa nyoronyoro wata kuendesha kama gari bovu mputamputa.
Imagine wanawaambia wanaume zao nyonyesha mtoto , Kisha mtoto, k afanye vile na hivi ??!
Huu ni uzi wa pili hii leo unatuma kuhusu makabila, ha;afu mkiambiwa tanzania kumejaa ma-racists mnanuna. Tanzani kuna ukabila sana na ushahidi ni huu hapa!!!!!Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.