Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

Mtoa mada nilisahau ....tafuta mpare kabisa yule asilia aliekulia kule usabatoni utakuja kuniambia
 
Wewe ni muongo sana

Weka ukweli wako tusome hapa tuupime.
Achana na mafupi ya kusema uongo bila justification yoyote.
Ndio kama ambavyo wengine walisema wanawake wa kutoka Iringa na Njombe ni wife material lakini takwimu zinaonesha ndio wanaongoza kwa kuwafanyia ukatili wanaume zao hadi kuwapa vipigo.
 
Weka ukweli wako tusome hapa tuupime.
A hana na majibu maguoi ya kusema uongo bila justification yoyote.
Ndio kama ambavyo wengine walisema wanawake wa kutoka Iringa na Njombe ni wife material lakini takwimu zinaonesha ndio wanaongoza kwa kuwafanyia ukatili wanaume zao hadi kuwapa vipigo.
Ok kwahiyo kwa uzoefu wako ni kabila lipi linaongoza kuwa na wife material?
 
Ok kwahiyo kwa uzoefu wako ni kabila lipi linaongoza kuwa na wife material?

Wanawake wa Kitanga.
Wanaweza wasifikie ubora wa kuwa na vigezo vyote vya kuwa wife material lakini kwa wastani walau wako vile vigezo ambavyo wanaume wengi wanatarajia kuvipata tika kwa mke.
Matharani;
1. Heshima na adabu kwa mume
2. Kujua kupika chakula vizuri
3, kujua kumsikiliza mume kwa utulivu
4. Kuonyeka
5. Kuwa na nyama ya ulimi
5. Kujua kuxunguusha nyonga vizuri kitandani
6. Usafi wa mwili na mazingira
7. Ukarimu kwa ndugu wa mume na majirani
8. Si Watu wa tamaa na kutamani mali za mume kwa hila.
Wanaridhika na mambo madogo tu
9. N.k
 
Kabila gani hao?
 
Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
1.MSANDAWE
2.MSAFWA
3.MBENA
4.MHEHE
5.MNYAKYUSA
 
Oa Mzaramo utakuja kunishukuru, wana heshima wanajiheshimu na hutojutia kuwa naye..
Hawana nyama, wanapenda shughuli, kwa mparange sana, hawataki shule, nachowapendea hawana ubaguzi ukifungua biashara kama business iko poa wanakuungisha
 
Back
Top Bottom