Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Mleta mada hajauliza majini gani yanafaa kufugwaMuha
Unataka kusema waha ni naniMleta mada hajauliza majini gani yanafaa kufugwa
Ni mashetaniUnataka kusema waha ni nani
Unaangalia tacle????Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Umenitonesha kidondaOa Mzaramo utakuja kunishukuru, wana heshima wanajiheshimu na hutojutia kuwa naye..
ππππNiliamini ukioa mtu wa nyumbani kwwenu ni faida mana kuna leo na kesho. Kilichotokea !
Bora hata ingekuwa muhudumu wa bar
Jaribu wasukuma wale wa kijijini utanipa mrejesho
Dah πππwanatakata Mwanaume ufanye kila kitu hadi kunyonyesha mtoto
Konde ladies ni njema sana, alternative ni Ngoni na HeheYaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
Ni wachache sana wapo hivyooSema hao wana afadhali wakiolewa na wasukuma wenzao ndio wanakuwa na adabu lakini wakiolewa na mkabila baki wana sum us sana.
Na wanakuwa ana ushirikina pia.
Wakiolewa na Kabila baki huwa wanatakata Mwanaume ufanye kila kitu hadi kunyonyesha mtoto hata usiku akiamka mtoto yeye hajali ni wewe Mwanaume ujue cha kufanya.
Ni huzuni na masikitiko makubwa.
Wanawake wanapataga wanaume wazuri kisha wanawaharibu wenyewe.
Mwanaume wa hivyo akichoka mwanamke utasanda.