Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

Konde ladies ni njema sana, alternative ni Ngoni na Hehe

Wamakonde ni kama wairak na wasingida wanakwambia kunnyima ntu dhambi.
Wanagawa kwa yeyote K
Na ushirikina ndo usiseme
 
Ni wachache sana wapo hivyoo

Haya sie ni washauri wa jamii.
Wanakuwa na adabu kwa wasukuma wenzao sababu ya desturi Mwanaume wa kisukuma ako na masculinity behavior hawacheki na wowote , sasa akiolewa na mkabila wakorofi sana unless Mwanaume mkabila nae awe ni wa masculinity kaliba lakini ukiwa nyoronyoro wata kuendesha kama gari bovu mputamputa.
Imagine wanawaambia wanaume zao nyonyesha mtoto , Kisha mtoto, k afanye vile na hivi ??!
 
Wamakonde ni kama wairak na wasingida wanakwambia kunnyima ntu dhambi.
Wanagawa kwa yeyote K
Na ushirikina ndo usiseme
Hawagawi indiscriminately, lazima kuwe na uhitaji (upwiro)
 
Wewe kabila gani kwanza tujue kama mwanamke aweza faa kuolewa na hilo kabila lako
 
Wowa Wowote!
 
Umeiweka vzuri chifu !,,
nami ni muumini wa hilo kundii
 
Kuwowa ndo kufanyaje mwanetu?
 
Wewe ni muongo sana
 
Huu ni uzi wa pili hii leo unatuma kuhusu makabila, ha;afu mkiambiwa tanzania kumejaa ma-racists mnanuna. Tanzani kuna ukabila sana na ushahidi ni huu hapa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…