Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

Kabila la banyankole shangazi hulala na mchumba wa binti yao kabla ya ndoa ili kupima uwezo

Wengi waliingia kwenye uteja miaka mingi sana wengine walipewa nyumba Cape Town na kaburu maeneo ya Delf wengi sana waliziuza ili mradi watoke kule madarajani kwa kuwa walikotoka walikua na lengo la kwenda mbele zaidi kupitia kupanda meli basi ndio yakawa maisha yao ya beach ila SA mpaka Dunia inaisha bado ni fursa ila sio kwa kutafuta mtaji kwa wenye mitaji tayari.
Nakubali na wengi nimechunguza ni watu wa tanga
 
Je hao ma aunty si wanakuwa tayari amepata bwana wa kuwa jigi jigi kipindi mambo ya endapo kombo kwenye ndoa zao?

Binafsi kama aunty yake amebarikiwa namuunganisha kwenye Tera kwa wivu mkubwa sana
 
Unamnywea vumbi la kongo, unamchakata haswa mpaka iwake moto akahadithie
 
Nakubali na wengi nimechunguza ni watu wa tanga
SA ina matajiri wengi Watanzania na wanashika tenda za Serikali wengine wakulima wakubwa na bidhaa na matunda wanaleta kuuza hadi hotel za ngorongoro huko usisikie kelele za watu kule bado ni fursa vitu ambavyo kwetu ni hatari SA sio hatari ila kwa sasa hivi inatakiwa uwe na mtaji.
 
Vijana wanaooa wakiwa mabikra huwa wanatoboa kweli hiyo interview?

20yrs papuchi ya kwanza ya mshangazi 50yrs?

Au wanazimua visungura na blue pills wanasuza wakiwa flight mode!

Ukikosea tobo mwali umemkosa! Utasikia,"Kijana siyo huko".😀
 
Ukimwi sasa,hao wazuri usoni tu. Ni wachafu na wananuka midomo balaa watatu nimepita nao
 
Vijana wanaooa wakiwa mabikra huwa wanatoboa kweli hiyo interview?

20yrs papuchi ya kwanza ya mshangazi 50yrs?

Au wanazimua visungura na blue pills wanasuza wakiwa flight mode!

Ukikosea tobo mwali umemkosa! Utasikia,"Kijana siyo huko".😀
😂😂😂😂
 
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao.


Kwa mujibu wa utamaduni wa jadi wa Banyankole, shangazi wa binti ana jukumu la kulala na mchumba wa binti yake kabla ya ndoa rasmi kufanyika. Hatua hii inalenga kupima uwezo wa kiutendaji na nguvu za kiume za mtarajiwa huyo ili kujiridhisha kuwa ataweza kumridhisha na kumtunza mke wake ipasavyo.


Mila hii hufanyika wakati wa mchakato wa maandalizi ya ndoa katika maeneo yanayokaliwa na jamii hiyo. Hatua hiyo inachukuliwa kama sehemu ya ukaguzi wa kimila ili kulinda heshima ya familia na kuhakikisha ndoa inayotarajiwa inakuwa na msingi imara bila changamoto za kinyumba baada ya harusi.


Hata hivyo, katika ulimwengu wa sasa, mila na desturi za aina hii zimekuwa zikikosolewa na kupungua kwa kasi kutokana mebadiliko ya kiutamaduni, dini, na elimu ya afya.

View attachment 3681098
Aunt akinogewa je
 
Kuna binti mmoja wa kinyarwanda nilimpata akanambia wao kwao ukimuoa kama sio kabila moja kwenye watoto watatu wa kwako mmoja sio wako wanafanya hivyo kukuza ukoo yupo halali kuzaa na kaka ake.
Ukimtolea mahari ukipata watoto wawili anarudi kwao kusalimia anajazwa mimba.
 
Hicho kitu hakina ukweli hata kidogo sisi wanyambo tunao ishi wilaya ya Karagwe na Kyerwa Kwa namna Fulani tumeshea Lugha,na baadhi ya tamaduni na kabila la banyankole la nchini Uganda na tumeingiliana sana hakuna kitu kama hicho.
 
Katika jamii ya kabila la Banyankole nchini Uganda, zipo mila na desturi za kipekee zinazohusu maandalizi ya harusi na ndoa. Miongoni mwa mila zinazovutia na kuzua mjadala ni jukumu la shangazi wa bibi harusi katika kuhakikisha uimara na uwezo wa mwanamume anayetaka kumwoa binti yao.


Kwa mujibu wa utamaduni wa jadi wa Banyankole, shangazi wa binti ana jukumu la kulala na mchumba wa binti yake kabla ya ndoa rasmi kufanyika. Hatua hii inalenga kupima uwezo wa kiutendaji na nguvu za kiume za mtarajiwa huyo ili kujiridhisha kuwa ataweza kumridhisha na kumtunza mke wake ipasavyo.


Mila hii hufanyika wakati wa mchakato wa maandalizi ya ndoa katika maeneo yanayokaliwa na jamii hiyo. Hatua hiyo inachukuliwa kama sehemu ya ukaguzi wa kimila ili kulinda heshima ya familia na kuhakikisha ndoa inayotarajiwa inakuwa na msingi imara bila changamoto za kinyumba baada ya harusi.


Hata hivyo, katika ulimwengu wa sasa, mila na desturi za aina hii zimekuwa zikikosolewa na kupungua kwa kasi kutokana mebadiliko ya kiutamaduni, dini, na elimu ya afya.

View attachment 3681098
Je ukimlala shangazi kisha ukampenda hapo inakuwaje?

Na siku za maisha ya ndoa, unatakiwa kujisahaulisha au uendeleze mahusiano, maana hapo si tayari mnakuwa mshatengeneza bond na kuwa mwili mmoja?

Maana source kubwa ya mapenzi ni sex!
Nimeishi maeneo ya Mbarara pale, lakini sikuwahi sikia izo mila.
Ninachokielewa cha sirini ni wasichana kuvutwa 'Labia majora' na kuwa ndefu, unapoingia na kunaswa, huchomoki kipumbaf pumbaf😃🤣.
 
Hatari sana, na huyo mkeo nae ni shangazi wa mtu, kwa hiyo nae atakua anachakatwa...


Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom