Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

hakuna kabila la wapemba
Najua vyema but kutokana na mchanganyiko wa muda mrefu kati ya Washirazi na Waafrika, wakazi wa Pemba wametengeneza half-cast wengi kiasi kuwa utambulisho wao umegeuka kuwa Wapemba. So siyo Mimi niliyeamua kuita hivyo bali vyanzo mbalimbali Ndiyo maana kwa Unguja nimeweka wale Waafrika - Watumbatu na Wahadimu kwa kuwa ndio waliodominate zaidi kuliko Washirazi na Waarabu huko Unguja (ukitoa Mkoa wa Mjini Magharibi/Zanzibar Mjini).
 
Hicho Ndio kilichokufanya u-quote?
Dah, mzee naona umemwamulia mdau. Yote heri hii ndiyo raha ya kuwa JF kwani muda mwingine inatusaidia kuahirisha shida zetu na kutufanya tujione na sisi ni watu wa gambe. Tuko pamoja.
 
Mzee naomba uamini kuwa, nimefanya kazi ya ziada kufikia hapo. Mimi siyo mwendawazimu kujitungia vitu nisivyo na uhakika navyo hadi kuviweka mitandaoni ambako kuna vichwa vingi humu JF vyenye kupambanua mambo.
Hata hivyo, nimetumia muda mwingi sana kufikia hatua ya kuamua kutoa gredi kuanzia A-D kwa kila kipengele na kila kabila. Nimekuwa nikisoma sana Atlas tangu nikiwa Primary na until nowadays, nimekuwa nikipossess atlas tisa za aina mbalimbali.
Hata hivyo, idea hii ya kuandaa data nimekuwa nayo tangu zamani kwa kuwa nilikuwa najua kuna kitu kikubwa sana ambacho hatufundishwi shuleni lakini ndicho kinasababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezekano mkubwa wa watu wao kuendelea sana academically. Tangu nikiwa Kidato cha III, nilikuwa naipinga idea kwamba maeneo yaliyoendelea kielimu, yamesababishwa na uwekezaji wa wakoloni. Hii ni kwa sababu mimi shule ya sekondari niliyosoma ndiyo ilikuwa ya kwanza ya umma wilayani kuanzishwa mwaka 1993 na ya pili Wilaya nzima but kabila hilo limekuwa likitajwa kuwa na wasomi wengi wa level za PhD, so nilikuwa na hamu kujua chanzo hasa.
So nimeileta hii kwanza, nikiwa najiandaa kuongezea taarifa nyingine ambayo itakuwa more comprehensive.
So kujibu swali lako, nimetumia jiografia na historia kwa kiwango kikubwa, kabla ya hivi karibuni kusaidiwa sana na taarifa zinazopatikana kupitia: en.climates-data.org; pamoja na ramani za mapcarta.com
So nisaidie kunikosoa maeneo uliyoona udhaifu hasa kwenye Kabila lako kama nimepatia eneo la asili bora kwa uzalishaji mzuri wa vyakula na hence kuna wasomi wengi kwenye ukanda huo kulinganisha na maeneo mengine ya hilo kabila.
Daaa ndg kabila gn hilo?njb plz
 
Back
Top Bottom