Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

hakuna kabila la wapemba
Najua vyema but kutokana na mchanganyiko wa muda mrefu kati ya Washirazi na Waafrika, wakazi wa Pemba wametengeneza half-cast wengi kiasi kuwa utambulisho wao umegeuka kuwa Wapemba. So siyo Mimi niliyeamua kuita hivyo bali vyanzo mbalimbali Ndiyo maana kwa Unguja nimeweka wale Waafrika - Watumbatu na Wahadimu kwa kuwa ndio waliodominate zaidi kuliko Washirazi na Waarabu huko Unguja (ukitoa Mkoa wa Mjini Magharibi/Zanzibar Mjini).
 
Hicho Ndio kilichokufanya u-quote?
Dah, mzee naona umemwamulia mdau. Yote heri hii ndiyo raha ya kuwa JF kwani muda mwingine inatusaidia kuahirisha shida zetu na kutufanya tujione na sisi ni watu wa gambe. Tuko pamoja.
 
Daaa ndg kabila gn hilo?njb plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…