Watu wakiamua hivi vitisho vyako vya kitoto havitakuwa na msaada wowote.Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa mihemko hakikisha anaye kushawishi wote mpo wote barabarani waswahili husema msiba wa wengi ni harusi.
Acha ungese kipindi hicho watu walikua hawan elimu sa hivibwatu wameelimika si mbumbumbu ka weweKabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa mihemko hakikisha anaye kushawishi wote mpo wote barabarani waswahili husema msiba wa wengi ni harusi.
Vitisho vya kitoto eti tangulia barabarani Oktoba 29 ndio utajua hawa wavaa gwanda wako huwa wanatania ama laaah nimekwisha kuueleza wa kuwa uliza Wazanzibar na waislam wa mwembechaiWatu wakiamua hivi vitisho vyako vya kitoto havitakuwa na msaada wowote.
Analeta umbumbumbu wake wa kimbogamboga.Acha ungese kipindi hicho watu walikua hawan elimu sa hivibwatu wameelimika si mbumbumbu ka wewe
Kipindi kile watu walikua waoga sa hivi ganzi ishawaingia uoga haupo hadi polisi wenyewe wanaogopaElimu gani nyie mliyo nayo sasa tofauti na kipindi hicho ?
> hii miaka mitano <<<
Tarehe 29 Oktoba uwepo barabarani nchi watu hawapewi kwenye sahani.
Huku online usionekane
Kweli sasa hv mmeelimika mmekuwa keyboard worriersAcha ungese kipindi hicho watu walikua hawan elimu sa hivibwatu wameelimika si mbumbumbu ka wewe
e ambaye aliagiza wenzake wavyekwe nae amefwekwa pia sijui kwanini akubisha asifwekwe.Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ?
Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea.
Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote.
Usiandamane kwa mihemko hakikisha anaye kushawishi wote mpo wote barabarani waswahili husema msiba wa wengi ni harusi.
Wanataka au tunataka ?Acha kutisha watu we mayai, ung'ombe baki nao ww, watu wanataka haki...
Mnawachukulia au mnatuchukulia ???Mnawachukulia poa sana wa tz ila kuna siku watawashangaza hao jwtz hawatakubali risasi zao ziwapige ndugu zao wadogo zao wajomba kina dada nk kifupi jiandaeni Kwa msiyoyatarajia hata kama sio 29/10
Mpambane au tupambane???CCM imeshindwa kutengeneza barabara bora matokeo yake watu wanakufa kama kuku kwa sababu ya ajali zinazotokana na ubovu/ufinyu wa barabara.
Vijana wengi wamejiajiri kwenye bodaboda na kwenyewe ajali ni nyingi sana ambapo taifa linapoteza nguvu kazi lakini huoni CCM wakiumiza kichwa kutatua tatizo la ajira ili vijana wasikimbilie bodaboda zenye risk kubwa ya kupata ajali na kupoteza uhai.
Kutokana na hayo machache hapo juu kwa vijana wa kitanzania uchaguzi ni wenu mpambane kupata mifumo bora ya uchaguzi ambayo itawawezesha kuchagua viongozi ambao watasimamia ustawi wenu au muendelee kufa kwenye ajali zinazotokana kwa asilimia kubwa na hawa madhulumati ya CCM