Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

Mjuba usitishe watu, hizo zama za kupiga waandamanaji kivile zilipitwa na wakati. Kwanza elewa hakuna maandamano siku hiyo msitake kuweka vyombo vya ulinzi na usalama katika hali ya taharuki
 
Polepole kathibitisha Genge la watekaji linaongozwa na Abdul yani yule mtoto laini laini ndo anaweka watu kwenye hofu!!

Mimi sipo upande wa majizi ya ccm wala Chadema ila tarehe 29 watu wakiwa wanaandamana nitamtafuta huyo Abdul tuzichape man to man na alivyo mlaini vile sijui hata kurusha ngumi kama anaweza nataka nimvunje mbavu zote
 
Mimi nitatokea kwenye hayo maandamano. Na siwaulizi hao Wanzibari. Na mtu akitokea mbele yangu, nampiga teke au ngumi ya tumbo. ephen_ hakikisha umeninunulia gloves nzuri kama zile za mabondia mashuhuri.
 
Maandamano salama hiyo tarehe 29 October ni kutokwenda kupiga kura, kataa kushiriki uhuni.
 
We ku.ma tz hii siyo china usilete usengerema wako huku ukdhan watz tunaweza kuwa na sera kama za china za chama kimoja na wkt kmetawala kwa wizi na mabavu kwa zaid ya miaka 60 lakn hata maji tu yamewashnda zaid ya kujnufaisha wao na family zao na kuwanufaisha wachina mamamaeeee.
 
We ni k.ma aliekutuma pia k..ma
 
Vitisho vya kitoto eti tangulia barabarani Oktoba 29 ndio utajua hawa wavaa gwanda wako huwa wanatania ama laaah nimekwisha kuueleza wa kuwa uliza Wazanzibar na waislam wa mwembechai
Kwani Nepal haikuwa na wavaa gwanda? Haya mambo ni kama kifo tu siku ikifika inakuwa imefika. Tuombe watawala wawe na utu wa kuona sababu ya kuheshimu ubinadamu
 
Kwani ni lazima ushawishiwe??
Acha watu na maamuzi yao kama wewe ulivyoamua kutoandamanq.
 
Waache wanaotaka kutokea watokee, mbona unawapangia maisha au wewe ni mnufaika wa huu ukatili unaoendelea?
Kwanini katika mifano yako haujawapa mfano wa Nepal?
 
Vitisho vya kitoto eti tangulia barabarani Oktoba 29 ndio utajua hawa wavaa gwanda wako huwa wanatania ama laaah nimekwisha kuueleza wa kuwa uliza Wazanzibar na waislam wa mwembechai
Mnaogopa?
 
We lazima utakuwa Zeluzelu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…