Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

Sasa naanza kuamini kitu, hii mambo ya 29 kuna kitu behind na wahusika wameshaona ni real mana wameshaanza kutumia nguvu kubwa mno kujihami " kunalo jambo
 
Mimi nitaandamana na nipo tayari kufa na polisi mmoja au wawili.
 
Kama ni kipigo siku hiyo kitakupitia na wewe, sababu hakuna mwenye lebo huyu ni muandamanaji na huyu siyo.
 
Kmmme mimi nataka niwe refa. Sitaki mtu aingilie, umchape za kiume akikuzidi nguvu naingilia tunamchakaza hadi alegee kama pweza then mechi inaanza tena upya unaanza kumkung'uta tena.

Nikiona anakushinda napiga kengele kwamba mapumziko, ukiwa unamzidi nasubiria hadi utosheke kumkung'uta kisawa sawa unambie nipige kengele.

Mamamaeee
 
Kwa nini unawashawashwa watu wakitaka kuandamana ?
 
Kifo kipo tu hakiepukiki ni heri ufe unapambania nchi yako kuliko kufa kwa ajali au kuumwa kwakukosa dawa hospital au kwamsongo wa mawazo kwakukosa ajira fear of unknown haina nafasi what if mambo yakawa sawa hivyo hofu haitasaidia this time
 
Ushatishika tayari na ndiyo maana unaongelea kutishia maandamano maana hutajua aliyetoka kwenda kupiga kura ni yupi na yupi anakwenda kujikusanya kuandamana. Kuna mtego hapo.
 
Tarehe 29 Oktoba sio mbali utokee kwenye maandamano
 
Ushatishika tayari na ndiyo maana unaongelea kutishia maandamano maana hutajua aliyetoka kwenda kupiga kura ni yupi na yupi anakwenda kujikusanya kuandamana. Kuna mtego hapo.
Hakuna anayekutisha tarehe 29 Oktoba tokea kwenye maandamano
 
Ushatishika tayari na ndiyo maana unaongelea kutishia maandamano maana hutajua aliyetoka kwenda kupiga kura ni yupi na yupi anakwenda kujikusanya kuandamana. Kuna mtego hapo.
Kitakachotokea na polisi wasivyo na akili dunia itashangaa maana wanachojua ni kupiga na kuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…