Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa

Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.

Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.

Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.

Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.

Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?

Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?

Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
 
Huwezi kuwa mlokole wa kweli halafu kutwa kucha unatukana mamlaka kwa maslahi binafsi uliyonayo which is against the Bible. Endeleeni kubondwa tu kwa upumbavu wenu.
 
kima wewe
 
ramli ni ushirikina wa kitumwa sana aise 🐒
 
Mkionywa muwe mnasikia na kuomba toba, mkishupaza shingo ghadhabu ya Mungu itawashukieni
 
Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa

Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.

Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.

Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.

Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.

Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?

Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?

Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
Wajihadhari sana maana kipindi hiki sio cha kawaida. Mungu yupo kazini tukae kwa hofu. Yeyote anayenyanyasa wstu na kuonea Wakristo, mkono wa Mungu utamshughulikia!
 
Huwezi kuwa mlokole wa kweli halafu kutwa kucha unatukana mamlaka kwa maslahi binafsi uliyonayo which is against the Bible. Endeleeni kubondwa tu kwa upumbavu wenu.
Hivi kuna mtawala katukanwa na mlokole? Lini? Na tusi gani?
 
Wajihadhari sana maana kipindi hiki sio cha kawaida. Mungu yupo kazini tukae kwa hofu. Yeyote anayenyanyasa wstu na kuonea Wakristo, mkono wa Mungu utamshughulikia!
Hakika hata anenaye maneno ya dharau yaliyojaa kiburi kwa watakatifu wa BWANA hakika hawataishi
 
Bashungwa ni toilet paper ya watawala wa system, Hana mamlaka yeyote zaidi ya kusupport kile kinachotakiwa na kutamkwa na mamlaka
 
Back
Top Bottom