Bachungwa wewe bado kijana, unassfari ndefu ktk siasa, nakuombea huruma kwa maelekezo kutoka Darini maskini wajiondolea kibali taratribuuu.... 😢Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.
Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.
Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.
Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?
Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?
Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
mbona hujataja misikiti mpuuzi wee?Kama nihivyo Mungu ange mshughulikia kwanza kagame aliye funga maelfu ya makanisa ya kirokole.
👏👏👏👏👏🙏🙏🙏🙏🙏🙏Kama nihivyo Mungu ange mshughulikia kwanza kagame aliye funga maelfu ya makanisa ya kirokole.
Ana fananisha viongozi wa dini na watumishi wa MunguBashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.
Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.
Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.
Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?
Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?
Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
yaani mtu ambaye hamjui Mungu, hana Mungu, wanaishi kwa uchawi uganga na ushirikina, wanaamini wana moral authority kufanya assessment ya makanisa, lengo likiwa ni kutarget makanisa yale ambayo yanawakosoa. Bashungwa ni mkatoliki, catholic ndio wamekuwa critical sana kwa serikali, mwambieni kama anajiona mwanaume akafanyie assessment katholic ili ajue jumapili akienda nani atampa sakrament. wanalenga makanisa mengine tu yasiyo na nguvu. mashetani wakubwa hawa.Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.
Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.
Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.
Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?
Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?
Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
Ni kweli maana ulivyomzefu, lazima ujue. KkkkMbona una-comment kama umeingiziwa kitu kigumu na kizitoo! Kwa nyuma Kama yule mkenya walivyomfanya?
Amen!Bashungwa