Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Mbona una-comment kama umeingiziwa kitu kigumu na kizitoo! Kwa nyuma Kama yule mkenya walivyomfanya?Huwezi kuwa mlokole wa kweli halafu kutwa kucha unatukana mamlaka kwa maslahi binafsi uliyonayo which is against the Bible. Endeleeni kubondwa tu kwa upumbavu wenu.
kima weweHuwezi kuwa mlokole wa kweli halafu kutwa kucha unatukana mamlaka kwa maslahi binafsi uliyonayo which is against the Bible. Endeleeni kubondwa tu kwa upumbavu wenu.
ramli ni ushirikina wa kitumwa sana aise 🐒Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.
Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.
Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.
Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?
Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?
Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
Macho ni yetu tutaona hata wewe kama utatoboa oktoba hakika utakufaramli ni ushirikina wa kitumwa sana aise 🐒
ramli na ushirikiana wenu viendelee kuwapotosha wenyewe gentleman 🐒Macho ni yetu tutaona hata wewe kama utatoboa oktoba hakika utakufa
Gentleman,Mkionywa muwe mnasikia na kuomba toba, mkishupaza shingo ghadhabu ya Mungu itawashukieni
Macho yetu na andiko hili litakuwa shuhuda mzuriramli na ushirikiana wenu viendelee kuwapotosha wenyewe gentleman 🐒
macho ni yakwako na ushirikina wako, huna haja kusingizia wengine ramli zako gentleman 🐒Macho yetu na andiko hili litakuwa shuhuda mzuri
Tutaona kama ni wa kwangu au aliyejuu ,na ishara kuu kesho haitakuwa siku njema kwakomacho ni yakwako na ushirikina wako, huna haja kusingizia wengine ramli zako gentleman 🐒
Wajihadhari sana maana kipindi hiki sio cha kawaida. Mungu yupo kazini tukae kwa hofu. Yeyote anayenyanyasa wstu na kuonea Wakristo, mkono wa Mungu utamshughulikia!Bashungwa
Bashungwa
Bashungwa
Nimekuita kwa herufi ndogo ili nikupe onyo.
Most of unregistered churches ni pentecostal churches. Wapentekoste ni watu wanaodharaulika sana katika jamii nyingi duniani lakini nikuambie kitu. Usicheze na walokole.
Mungu wa Walokole yuko active mno zaidi ya miungu yote duniani.
Kwa unyonge wao huo walokole ndio wanaolishika Taifa hili.
Kama wanamwabudu Mungu wao bila kuwatukana watu wengine kuna ubaya gani?
Mambo ya kusajili mmeyaona sasa hivi kipindi ambacho mteule wako kukataliwa na wananchi?
Kabla hamjayafungia tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie.
Hivi kuna mtawala katukanwa na mlokole? Lini? Na tusi gani?Huwezi kuwa mlokole wa kweli halafu kutwa kucha unatukana mamlaka kwa maslahi binafsi uliyonayo which is against the Bible. Endeleeni kubondwa tu kwa upumbavu wenu.
Hakika hata anenaye maneno ya dharau yaliyojaa kiburi kwa watakatifu wa BWANA hakika hawataishiWajihadhari sana maana kipindi hiki sio cha kawaida. Mungu yupo kazini tukae kwa hofu. Yeyote anayenyanyasa wstu na kuonea Wakristo, mkono wa Mungu utamshughulikia!
Gentleman,
hivyo ndivyo pepo huwatisha pepo wenzie right?