Kabla hamjayafungia hayo makanisa tayari Mungu atakuwa amemalizana na nyie

Tlaahtlaah fahamu kuwa toba ni bora kuliko mafuta ya beberu
 
Kama nihivyo Mungu ange mshughulikia kwanza kagame aliye funga maelfu ya makanisa ya kirokole.
 
Bachungwa wewe bado kijana, unassfari ndefu ktk siasa, nakuombea huruma kwa maelekezo kutoka Darini maskini wajiondolea kibali taratribuuu.... 😒
 
Kama nihivyo Mungu ange mshughulikia kwanza kagame aliye funga maelfu ya makanisa ya kirokole.
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ana fananisha viongozi wa dini na watumishi wa Mungu
 
yaani mtu ambaye hamjui Mungu, hana Mungu, wanaishi kwa uchawi uganga na ushirikina, wanaamini wana moral authority kufanya assessment ya makanisa, lengo likiwa ni kutarget makanisa yale ambayo yanawakosoa. Bashungwa ni mkatoliki, catholic ndio wamekuwa critical sana kwa serikali, mwambieni kama anajiona mwanaume akafanyie assessment katholic ili ajue jumapili akienda nani atampa sakrament. wanalenga makanisa mengine tu yasiyo na nguvu. mashetani wakubwa hawa.
 
Amen!
 
Mimi nilikuwa naomba yafungwe yote iachwe roman Catholic church, na Lutheran church, afu na waislamu wasitumie haya maspika wapuuzi Hawa wanatupgia kelele sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…