Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

Kabla hatujaanza kutumia smartphone ndani ya mablanketi, Miaka ya 90s na 2000s nyumba zilikuwa na chumba special kwajili ya computer (computer room)

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
933
Reaction score
3,051
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer

Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.


1743786772547.png
 
Ushuwani labda.

Miaka 90 maeneo ya dar internet cafe zilitamba sana maeneo posta mtaa wa samora upande magomeni pale mwembe chai kwa sinza ndio kila sehemu.

Kila teknolojia na wakati wake kwenye fursa.
 
Duuh umenikumbusha miaka hiyo nampigia simu mchumba kupitia simu ya mezani.

Unapiga anapokea operator anakusubirisha unaongea na mchuchu.

Hapo unakuta simu anapokea mama yake. Mpaka ujieleze ndio mchuchu ukaitwe muongee.
 
Mpaka sasa watu wanaweka. Me mwenyewe nina mpango wa kua na theater home. Hii inasaidia kuondoa fujo sebuleni hususani kama hutaki kelele na fujo za vijana. Ww unataka kuangalia mpira wengine wanataka kucheza game au kusikiliza mziki. Wanazama setup room.
1000092123.jpg
 
Tuliozaliwa kinambanda,kizuramimba,buzirayomba,iparamasa,kwa msisi,kwengegena,chabalisa,izumangabo,bukirriro tunacoment wapi
 
Ramani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer

Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.


View attachment 3293314
Nakumbuka shuleni miaka ya 2000 kulikuwa na chumba cha computer kuingia lazima uvue viatu na uwe msafi
 
Hivi watu bado wana flash, nikajua wote wamehamia cloud.
Sasa watu wana bando la kuupload na kuhost files huko Cloud mkuu? [emoji2960] Labda uwe na unlimited ni watu wachache wana uelewa na haya mambo ya kutunza vitu hifadhi za kwenye mawingu [emoji3509]
 
Sasa watu wana bando la kuupload na kuhost files huko Cloud mkuu? [emoji2960] Labda uwe na unlimited ni watu wachache wana uelewa na haya mambo ya kutunza vitu hifadhi za kwenye mawingu [emoji3509]
Mawingu, nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom