round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Zimekuwa adimu, soko limehamia kwenye flash diskHivi Deck za CD/DVD Bado zipo madukani?
Tuliozaliwa kinambanda,kizuramimba,buzirayomba,iparamasa,kwa msisi,kwengegena,chabalisa,izumangabo,bukirriro tunacoment wapi
Nakumbuka shuleni miaka ya 2000 kulikuwa na chumba cha computer kuingia lazima uvue viatu na uwe msafiRamani za nyumba zilikuwa na chumba maalum cha computer
Chumba cha computer kilikuwa na meza kubwa, screen yenye chogo, speaker mbili, mouse yenye mpira ndani, cpu yenye kitufe kikubwa cha kuwashia unachoweza tumia dole gumba la mguu.
View attachment 3293314
Zipo mkuuHivi Deck za CD/DVD Bado zipo madukani?
Hii imekaaa poaMpaka sasa watu wanaweka. Me mwenyewe nina mpango wa kua na theater home. Hii inasaidia kuondoa fujo sebuleni hususani kama hutaki kelele na fujo za vijana. Ww unataka kuangalia mpira wengine wanataka kucheza game au kusikiliza mziki. Wanazama setup room.
View attachment 3294613
Hivi watu bado wana flash, nikajua wote wamehamia cloud.Zimekuwa adimu, soko limehamia kwenye flash disk
Sasa watu wana bando la kuupload na kuhost files huko Cloud mkuu? [emoji2960] Labda uwe na unlimited ni watu wachache wana uelewa na haya mambo ya kutunza vitu hifadhi za kwenye mawingu [emoji3509]Hivi watu bado wana flash, nikajua wote wamehamia cloud.
Floppy disk [emoji334] [emoji2][emoji2][emoji2] wayback nlkua na laptop moja hivi ilkua na ki mlango cha kuwekea hii kitu.. nlkua nakichungulia nakumbuka mbali nacheka tu.View attachment 3296103
Unanikumbusha humu,
This bro had only 1.4MB[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mawingu, nimeipenda hii.Sasa watu wana bando la kuupload na kuhost files huko Cloud mkuu? [emoji2960] Labda uwe na unlimited ni watu wachache wana uelewa na haya mambo ya kutunza vitu hifadhi za kwenye mawingu [emoji3509]