Kabla hatujaanza kuushangaa huu waraka mpya wa Papa Francis tujikumbushe waraka wa mwezi uliopita, kanisa katoliki linaelekea wapi ?

Tunakoelekea sasa hawa Roman Catholic Church wanataka kuhalalisha yale ambayo watu wengi duniani watalikimbia kanisa hilo
Kwani wakili kimbia, ndo lenyewe misingi yake itakufa?
Kanisa litabaki pale pale.
 
Ndomana nasemaje, dini ya kikatoliki, asili Yao ni upagani.

Mizimu asili Yao ni Kuzimu, Mizimu=kuzimu.

Ikiwa inaabudu Mizimu, iweje ukane USHOGA wakati kuzimu kuingiliana kinyume ndo zao?

Ukifia dhambini, utaenda kuzimu direct. Okoka haraka.

Dunia Ina mambo🙄
 
Huo ni mtazamo wako. Hivyo sioni sababu ya kulumbana hapa. By the way, mimi siyo mtu wa kuyumbishwa kwenye maisha yangu ya kila siku. Kwa hiyo usipoteze muda wako kumhubiria mtu mwenye msimamo wake binafsi.
 
Wewe umeambiwa kama unapenda ushoga bakia Katoliki lakini kama hupendi ushoga hama haraka maana kanisa katoliki la sasa linakuona wewe ni mbaguzi, mtu mwenye chuki na uliyepitwa na wakati.

Kwa sasa ukatoliki na ushoga ni kitu kimoja, hakuna wa kumpinga mwenzake.
 
Kumbe hii ya kuubariki ushoga ni trend kamili ndani ya kanisa Katoliki.
Kwa sasa barabara ya ushoga imechongwa kikamilifu ndani ya kanisa katoliki, yaani ushoga utatambaa kirahisi mnoo.
 
Hiyo mizimu ni kwa ajili Yako..Mwenye uwezo wa kuleta jua na mvua ni Mungu peke yake,usipotoshe watu
 
Kanisa Katoliki ni Taasisi iliyojipambanua kwa kuzingatia Misingi yake ya asili.

Hata hivyo, niwape pole sana Wakatoliki maana Dunia imehama mwelekeo na hakuna wakuizuia kwa hapa ilipofikia. Kanisa kuzuia hili wimbi la mabadiliko ya hii Dunia ni sawa na kuzuia maji kwa wavu wenye matobo.

Ni suala la muda tu, mbona hata hao Mashoga wataruhusiwa mpaka ndani kabisa. Hii dunia tumechelewa kuidhibiti na hakuna wakuizuia.

Kwenye issue ya mazingira, wanapambana kurejesha 1.5°C kwa kudhibiti ongezeko la hewa ukaa kwa mwendo wa konokono. Mabadiliko ya Tabianchi yanakuja kwa kasi kubwa kuliko hatua zinazochukuliwa na sioni wakuyazuia haya mabadiliko.

Huko DUBAI juzi kwenye COP 28 wahusika wamejiuma uma na wameshindwa kunyoosha lugha kwa kukomesha uzalishaji wa Fossil fuels kwakuwaogopa matajiri wa makampuni ya mafuta. Kwahiyo unaweza kuona kuwa kuwaheshimu matajiri wa Dunia ni muhimu zaidi kuliko afya ya Dunia yenyewe. Unaweza kuona jinsi gani Binadamu hawezi zuia matatizo aliyoyatengeneza mwenyewe kwa kuhofia suala la uchumi.

Ngoja tupigwe na mabadiliko ya Tabianchi mpaka tunyooke. Huko vijijini maji yatakuwa yanapatikana mara moja kwa mwezi. Mvua zitakuwa either kubwa sana za kuharibu au tutapigwa ukame ambao haujatokea. Wadudu waharibifu wa mazao wataongezeka na kilimo kitakuwa ghali sana na maskini atabakia kuwa maskini. Huu umeme wenu mnaojisifia wa maji mtausikilizia kwenye makaratasi tu kuwa ulikuwepo. Magonjwa yataongezeka na maisha yatakuwa ya taabu haswa. Maskini watazidi kuwa maskini na huenda kuishi kutabakia kwa watu wachache sana. Ni suala la muda tu.
 


Kanisa katoliki haliendi mahali, mpinga Kristo probably atatoka huko, ni kanisa ovu, ila limejificha tu, Huyu Pop ndo uhalisia wa hili kanisa.
 
Hiyo mizimu ni kwa ajili Yako..Mwenye uwezo wa kuleta jua na mvua ni Mungu peke yake,usipotoshe watu
Acha kiherehere wewe. Kuna sehemu yoyote ile nimekuhusisha wewe na ukoo wako kwenye hayo maelezo yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…