Habari!
Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24
Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake
Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin kwa Afisa ustawi
Majibu yake huku akitokwa na machozi yalinifanya nijisikie vibaya sana kwani anasema jamaa wake anampiga na ukizingatia mdada Ana ujauzito anakaribia kujifungia jamaa wanakaa wote ila anadai hapewi matunzo na mwanaume wake akitoa pesa kubwa ni 2000
Mbaya Zaidi jamaa anajua mwanamke wake Ana ujauzito anachati na mwanamke wake mpya mchepuko mbele ya mkewe usiku kucha na Jana kampiga ngumu mwanamke wake sana na amevimba uso
Pia juzi mkewe kataka pesa ya kwenda kujifungua jamaa kampa 40000/ pekee na haioneshi hata kujali na ameshampa kiburi mpaka mchepuko unapokea simu yake unamwambie mkewe wew ushazalishwa tulia
Kiukweli stori yake imenikasirisha sana mchana nikaona nije niwashauri vijana wenzangu kuwa kabla hujaingia kwenye mahusiano na mwanamke na kuzaa nae hakikisha ni mtu sahihi kwako Tusipende kuwaumiza Hawa wanawake ndio tunawafanya kujiingiza kwenye matendo maovu.
Pia matendo ya ukatili wa kijinsia yameleta ongezeko la watoto wa mtaani na kujaza magereza kwani wanaume wengi wanafungwa kwa kesi za ukatili na unyanyasaji wa kijinsia
Tubadilike Pinga ukatili wa kijinsia popote ulipo jamii Bora inaanza nawewe
Nawasilisha
Afisa ustawi wa jamvini