Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

Kabla hujaamua kuwa na mahusiano au kuzaa na mwenza wako hakikisha ni mtu sahihi

Jamaa anafanya Kazi jambo plastics pale karakana

Analaumu jamaa amebadilika sana hamjali toka apate huyo mwanamke mpya

Mm kilichonivuta kumuuliza nilimuona analia halafu ana barua ya mtendaji wa mtaa akimtaka kwenda kwa Afisa Ustawi
Pia ana manundu ya kutosha
Hana kwao mpaka akimbilie ustawi wa jamii. Haya mambo ya ustawi ndio yanasababisha wanawake wananyanyasika kutwa kucha. Halafu stori ya upande mmoja haitoshi kujustify hukumu upande mwingine
 
Hana kwao mpaka akimbilie ustawi wa jamii. Haya mambo ya ustawi ndio yanasababisha wanawake wananyanyasika kutwa kucha. Halafu stori ya upande mmoja haitoshi kujustify hukumu upande mwingine
Kilichomfanya kwenda ustawi jamaa wake hataki kumpa nauli ya kwenda kwao
 
Kuna wengine Huwa wanaleta dharau Kwa kujua kuwa wataonewa huruma sababu ya ujauzito.Kama analeta dharau haijalishi ni mjamzito kipigo kinamuhusu
Huu sio uanaume mkuu. Akikushinda fukuza akapeleke zarau kwa shangazi zake
 
Tushakosea ngoja tupambane kuwalea vyema wasijetulaumu kuwaleta dunian
 
Back
Top Bottom