chlorine gas
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 2,522
- 2,651
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi kwanza wala sitaolewa nae. Kumdatw tu naweza nikapiga kelele limtu nisilolipenda likinipigia simu halafu lianze kujibebisha
Shida nyingine hata akienda kwa hyo ex wake hana assurance ya true love from him
Heshima yko binamuMy sweetheart i love your chura so much!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]I love your wallet too bby
Mwanaume lazma uoe mwanamke anayekupenda kuliko wewe unavyompenda...otherwise ni manyoya kwakweli ... wengi wanaingiza sana sababu labda kaona kuna vi cent kidogo kwako.
Binamu unazurura sana, umekuja kufanya nini huku? Wewe ni mbea eeeehhhh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niache nipo na binamu yangu!Kwahiyo bby wewe ni mmbea?
Nmekuja kuona chura alokutuliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu unazurura sana, umekuja kufanya nini huku? Wewe ni mbea eeeehhhh?
[emoji23][emoji23][emoji23]Binamu nyama ya hamu sisahau
Kwani yupo hapa??!Nmekuja kuona chura alokutuliza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwe na amani jamaniBinamu nyama ya hamu sisahau
Wanaume tunaonaga tabu sana kumoa mwanamke asiye na shape au mvuto,lakin mwanamke mbaya zaid ni yule asiye na shape ya akili(asiyejielewa anataka nini au hataki ni nini ).Mwambie hyo rafk yako tena kwa ukali kwamba anayaharibu hayo maisha yake kwa mikono yake mwenyewe atakuja kuyajutia maamuz yakeHata yeye anajua ex wake atataka amlale tu yaishe ila anampenda ex wake kama kitu gani. Imagine aligonga gari wakati tunaondoka tulipokuwepo badala ampigie mumewe amuambie akampigia simu ex wake eti bby nimegonga gari. Hapo mume kapiga simu kama 100 anazimute hajisikii kuongea nae
Si mzigua au kuna mwingine?[emoji134] [emoji134]Kwani yupo hapa??!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] karibu sanaHahahahaaa. Sawa wifi
Wanaume tunaonaga tabu sana kumoa mwanamke asiye na shape au mvuto,lakin mwanamke mbaya zaid ni yule asiye na shape ya akili(asiyejielewa anataka nini au hataki ni nini ).Mwambie hyo rafk yako tena kwa ukali kwamba anayaharibu hayo maisha yake kwa mikono yake mwenyewe atakuja kuyajutia maamuz yake