Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Hata yeye anajua ex wake atataka amlale tu yaishe ila anampenda ex wake kama kitu gani. Imagine aligonga gari wakati tunaondoka tulipokuwepo badala ampigie mumewe amuambie akampigia simu ex wake eti bby nimegonga gari. Hapo mume kapiga simu kama 100 anazimute hajisikii kuongea nae
Shida nyingine hata akienda kwa hyo ex wake hana assurance ya true love from him
 
Mwanaume lazma uoe mwanamke anayekupenda kuliko wewe unavyompenda...otherwise ni manyoya flat out ... wengi wanaigiza sana sababu labda kaona kuna vi cent kidogo kwako.
 
Ndio ndio. Mwanamke akikupenda atavumilia hata ujinga utakaokua unamfanyia. Lakini asipokupenda kosa dogo tu atalivunjia ndoa.
Mwanaume lazma uoe mwanamke anayekupenda kuliko wewe unavyompenda...otherwise ni manyoya kwakweli ... wengi wanaingiza sana sababu labda kaona kuna vi cent kidogo kwako.
 
Hata yeye anajua ex wake atataka amlale tu yaishe ila anampenda ex wake kama kitu gani. Imagine aligonga gari wakati tunaondoka tulipokuwepo badala ampigie mumewe amuambie akampigia simu ex wake eti bby nimegonga gari. Hapo mume kapiga simu kama 100 anazimute hajisikii kuongea nae
Wanaume tunaonaga tabu sana kumoa mwanamke asiye na shape au mvuto,lakin mwanamke mbaya zaid ni yule asiye na shape ya akili(asiyejielewa anataka nini au hataki ni nini ).Mwambie hyo rafk yako tena kwa ukali kwamba anayaharibu hayo maisha yake kwa mikono yake mwenyewe atakuja kuyajutia maamuz yake
 
Keshajuta mpaka sasa kuingia kwenye ndoa ambayo hayuko proud nayo

Back
Top Bottom