Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

Kabla hujakubali kuolewa wakati humpendi mwanaume muwazie yule mwanaume anaekuoa kwa sababu anakupenda.

makosa mawili makubwa mnayofanya wanawake wa siku hizi kuingia ktk ndoa:-
1. kuridhisha wazazi hasa wakina mama ndio wanaongoza ktk hili kuwapelekea watoto zao kutofaidi maisha ya ndoa....unakuta mdada wa watu anaolewa hata na mtu asiyependa ndo hapo habari za michepuko huanza hii mbaya sana.

2. kuwatambia wenzake mtaani kwamba fulani kaolewa....yes kuolewa ni heshima ila kwa ndoa za namna hizi hakuna maana halisi ya ndoa hapo.

muhimu kusikiliza moyo wako unataka nini, hakuna kitu kizuri katika maisha haya kama amani.
Sometimes moyo unasema "back n forth" repeatedly......
So usitaraji utakupa msimamo, tumia akili baada ya moyo kutoa uhakika wa hisia.....

Akili huwa zinasaidia kufanya maamuzi magumu hata pale ambapo hatupo tayari
 
Namuonea huruma tu
Sasa taahira kama huyo unamshauri wa nini si umuache tu akachukue namba yake ya masingle mother fala wahed huyo......

Siku hizi mabinti akili zao wanazielewa wenyewe,
 
You're very right. Vitu vingine bila akili haviendi.
Sometimes moyo unasema "back n forth" repeatedly......
So usitaraji utakupa msimamo, tumia akili baada ya moyo kutoa uhakika wa hisia.....

Akili huwa zinasaidia kufanya maamuzi magumu hata pale ambapo hatupo tayari
 
Naomba kudeclare interest kabla sijaenda mbali: Mimi ni muumini wa mapenzi. Naamini katika ndoa yenye mapenzi na sio sababu nyingine.

Nina rafiki yangu aliolewa siku kadhaa nyuma. Siku ya kuvalishwa pete nilienda nae ukweni kwao. Lakini hakuwa na furaha kabisa. Mpaka mawifi wanatuambia muambieni mwenzenu asmile basi hata kwenye picha tu.

Baada tukio wakati tunarudi nikamwambia huna furaha umelazimishwa kuolewa? Kama unaona humtaki huyu kaka una nafasi bado hii ni pete tu muache kuliko uje kumuumiza baadae. Akaniambia nitakujibu kesho. Kesho yake nikamuuliza tena umeamua kuolewa au kukatisha ndoa. Akaniambia naolewa ile jana nilikua excited. Lakini picha zake kila mtu alikua anasema hana furaha.

Akaja akaolewa. Lakini hana furaha kabisa. Jana akaanza kuniambia habari za talaka. Ndoa hata miezi mitatu haina. Nikamuuliza unakumbuka niilivyokuambia ukatishe kuolewa wakati umevalishwa pete? Kwanini unataka umuumize mumeo na anakupenda sana. Akanijibu tu aliolewa kwa sababu alikua na stress na alitaka kumridhisha mama yake ila hajioni kabisa kumpenda mumewe. Nikamwambia sasa utafanyaje. Akasema hajui ila anaona hayuko sehemu sahihi na haenjoy ndoa yake. Nilichomshauri nikamwambia fuata moyo wako ila kuachika ni aibu zaidi tena kwa tamaa zako wakati ulikuwa na nafasi ya kukataa ndoa toka mwanzo.

Namuonea sana huruma mume wake maana anampenda sana mkewe ila mke hampendi kiasi cha kutotaka kuzaa na mumewe. Ameolewa lakini bado ana mapenzi mazito kwa ex bf wake. Na anavyoongea ni kama anataka amzalie kabisa huyu ex wake wakati yeye mke wa mtu. Siku mumewe akija kujua kilicho ndani ya mke wake kama sio kumuua bas atamuua yeye maana wajeda mapenzi yanajuaga kuwaumiza kweli kweli.

Kwa wenzangu, sio lazima uolewe ndo uonekane umekamilika. Kabla hujajifikiria wewe na ubinafsi wako mfikirie yule mwanaume aliekuona wewe ni mwanamke sahihi kwake na ni mwanamke anayetaka atumie maisha yake yaliyobaki duniani na wewe.

Usiolewe kumridhisha mtu au kukomesha wale waliosena hutaolewa. Maisha ni matamu ukiwa kwenye ndoa sahihi (sijaolewa ila najua utamu wa mapenzi).

Ewe mwanamke usitoke kwenye ndoa kwa upumbavu wako. Achika kwa kushindwa kumvumilia mume ila sio kwa kushindwa kuigiza upendo ambao haukuwepo toka siku unasema I DO.
mkuu wanawake hapa ndipo wanafeli sana aiseee.........

namshukuru sana Mungu wa Mbinguni amenipa mke mzuri wa sura, ananipenda, nampenda, sichoki kumwona, aisee yan hata nikiambiwa nifanye tena maamuzi namwoa yeye..............

wanawake, oleweni na watu mnaowapenda!
 
Awwwww.. kweli oa mwanamke anaekupenda utaenjoy maisha. Ila ukijitia kumpenda wewe utateseka ujute
mkuu wanawake hapa ndipo wanafeli sana aiseee.........

namshukuru sana Mungu wa Mbinguni amenipa mke mzuri wa sura, ananipenda, nampenda, sichoki kumwona, aisee yan hata nikiambiwa nifanye tena maamuzi namwoa yeye..............

wanawake, oleweni na watu mnaowapenda!
 
Hivi unaoa/olewa kisa shinikizo la ndugu kweli?

Hiyo ndoa utaitumikia wewe ua hao ndugu!? Waafrica sisi bwana tuna mambo ya kupangiana maisha kiduanzi sana.
mkuu, makanisani ndio kunaongoza kuwa na ndoa za kulazimishana...........

baadhi ya makanisa hasa haya ya kilokole ukikutana mchungaji asie na uelewa aiseee unabebeshwa mtu bila kutaka.........

nimewah shuhudia!
 
Kama kila siku ya ibada tutagawana sadaka basi morali.
 
Hivi unajua kuna ile kitu wamama na mashangazi wanawadanganya sana binti zao. Eti olewa na mwanaume anaekupenda utajifunza kumpenda taratibu. Hii kitu sio rahisi. Wachache sana wanapendaga waume zao kwenye ndoa.

Na siku hizi na sisi wanawake tunajidanganya eti ukimpenda mtu mpende kwa akili sio kwa moyo. Kwamba hata akikuzingua rahisi kumuacha. Ndo mana wengine wanaingia ndoani kwa kutumia akili bila hisia halafu wanaanza kujuta. Mtu anaona mwanaume anajimudu ana maisha mazuri anampenda anaambiwa ndoa anakubali wakati anajua hampendi hata kidogo anapenda vitu vyake tu.
Watoto wa kike wengi leo wanafeli sababu hawatumii akili, wanatumia moyo na mwili......

Wanaume tunatumia akili, pesa na nguvu kufanya maamuzi.....

Sijui nani kawaroga hawa viumbe
 
Hakushinikwa hata eti. Mama ake alimwambia nataka nione ndoa yako kabla hujafikisha miaka 30. Alivyotokea muoaji akakubali afulfill ndoto ya mama ake.

Kingine alikua anataka harusi flani hivi ya heshima na nini.
Shida nyingine hata akienda kwa hyo ex wake hana assurance ya true love from him
 
Mimi kwanza wala sitaolewa nae. Kumdatw tu naweza nikapiga kelele limtu nisilolipenda likinipigia simu halafu lianze kujibebisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kwa nn ufikie huko?? Mm kwa kweli siwezi ingia kwenye ndoa na mtu ambaye sina hisia nae Mana ntamuumiza tu ila hilo la sumu nmechekaa
 
Ndo maana wanawake wengi wanakimbilia makanisa ya kilokole kwenye kukutana na wanaume waliokata tamaa kama wao.
mkuu, makanisani ndio kunaongoza kuwa na ndoa za kulazimishana...........

baadhi ya makanisa hasa haya ya kilokole ukikutana mchungaji asie na uelewa aiseee unabebeshwa mtu bila kutaka.........

nimewah shuhudia!
 
makosa mawili makubwa mnayofanya wanawake wa siku hizi kuingia ktk ndoa:-
1. kuridhisha wazazi hasa wakina mama ndio wanaongoza ktk hili kuwapelekea watoto zao kutofaidi maisha ya ndoa....unakuta mdada wa watu anaolewa hata na mtu asiyependa ndo hapo habari za michepuko huanza hii mbaya sana.

2. kuwatambia wenzake mtaani kwamba fulani kaolewa....yes kuolewa ni heshima ila kwa ndoa za namna hizi hakuna maana halisi ya ndoa hapo.

muhimu kusikiliza moyo wako unataka nini, hakuna kitu kizuri katika maisha haya kama amani.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom