Kabla hujanunua Azam TV pitia hapa; Usije kujuta

Vingamuzi vyote ni matakataka isipokwa DSTV WAKO POWA SANA SANA .NAWAOMBEA WASHINDE KESI YAO MAHAKAMANI WAWEZE KURUDISHIWA ZILE LOCAL CHANNEL,
 
Umesahau, huduma kwa wateja ni shida!
 
Azam kweli tunajuta, pesa ikiisha wanazuia hadi radio. kuna channel haziwahusu tunaziweka wenyewe kwa matakwa yetu nazo zinazuiwa
 
CNN akipo
Kabisaaa
 
Nakushauri hiyo budget ya 250,000 wekeza sehemu yoyote. Sisi tunalipa 15,000 bado tunapata local channels na channel za east Africa baaaaaasi
mkuu ni king'amuzi gani hichoo...?

hapa nasoma comments sijajua ninunue kipi.

mimi sio mpenzi wa mpira.

mimi ni taarifa ya habari na mawaidha kidogo na vipindi vya kijamii zaidi.

sio mpenzi wa muziki kabisa wala mpira.

mkuu king'amuzi gani kizurii kitanifaa ?
 
Kwa sasa chukua Azam maaana channel local karibia zote ni free
 
Hii YA kuharibika Na kutakiwa kununua kipya inakera...sana...hivi kwanini pasiwe Na utartibu upewe number mpya kama mitandao YA simu...upewe Namba ilele...kama mitandao YA simi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…