Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni mkakati maalum wa kuendeleza tamaduni za kihindi kama mlikuwa hamjui,haiwezkani decoda imejaa michanel ya kihindi tu,na hii michanel inaoneka tu hata usipolipia,lkn tv zetu la local usipolipia tu znakata!sinunui ng'o azam nimeshaghairi,nashkuru kwa taarifa mkuuNimatumaini yangu kuwa wengi ni buheri wa afya na manaendelea vema na majukumu ya kila siku! .....Ukweli kuwa wengi wetu tuna mategemeo makubwa kutoka Azam tv tofauti na ukweli ulivyo...Lengo la Uzi huu si kuharibu biashara ya Azam Bali kueleza uma ukweli halisi wa mambo! so nitaelezea mambo muhimu ya kuyafahamu kabla ya kununua Azam TV.
1. Bei ya decoder hubadilika wakat wowote bila taarifa! mwezi wa 1,2016 nimenunua 140,000 hadi sasa tar 7 Marc imefika 170,000.
2. Channel ya kawaida tuu kama bbc,fox ,CNN ,aljezeera, France 24, mpaka ulipe 20,000 kwa mwezi.
3.sinema zetu utapata bongo movie za 2005 kushuka chini Mara nyingine movie hurudiwa kwa week Mara 3, No latest movie ujue hivyo!
3.organization ya channel iko hovyo! unaweza kulipwa kifurushi cha 12,000 lakini kupata channel moja hadi nyingine ni shughuli! channel za kihundi tuu ndo ziko pamoja!.
4.Tegemea kupata channel kibao za kiarabu na nyingine zisizoeleweka ni lugha gani!
5. Wapenzi wa channel "e" mujue kuwa haipo Azam TV!
6. ukienda kununua watakuambia vipeperushi vya list za channel na bei ya vifurushi vimeisha maana wanajua ukiangalia channel zao na bei utaghair kununua" maana haviendani!!!
Thanx
Fanya maamuzi sahihi mkuu! utafiti utakusaidia kupata decoder bora sio kelele za AzamHuo ni mkakati maalum wa kuendeleza tamaduni za kihindi kama mlikuwa hamjui,haiwezkani decoda imejaa michanel ya kihindi tu,na hii michanel inaoneka tu hata usipolipia,lkn tv zetu la local usipolipia tu znakata!sinunui ng'o azam nimeshaghairi,nashkuru kwa taarifa mkuu
Mkuu hzo chanel za kihind hata wakiacha bure..unazielewa kwanza hahahaHuo ni mkakati maalum wa kuendeleza tamaduni za kihindi kama mlikuwa hamjui,haiwezkani decoda imejaa michanel ya kihindi tu,na hii michanel inaoneka tu hata usipolipia,lkn tv zetu la local usipolipia tu znakata!sinunui ng'o azam nimeshaghairi,nashkuru kwa taarifa mkuu
Dstv wangekuwa na CNN kwenye kifurushi cha chini kabisa ningewapenda. Lakini ni bora kuliko hivi vya kibongo.Nunua dstv mkuu
Kuna wabongo huwaambii kitu kuhusu iyo michanel ya kihindi yani!Mkuu hzo chanel za kihind hata wakiacha bure..unazielewa kwanza hahaha
nakujamimi tangu 2012 nipo kwa makaburu dstv...sijutii maamuzi na sina mpango wa kuhama! dstv watamu balaaaa sema tu inshu yao ni malipo...kifurushi cha chini kbsa tsh. 23,500/-!!!
ila picha zao ziko bora sanaaaa ukilinganisha na vingamuzi vingine....mzazi hakuna chenga wala nini!!! KAMA UNAPENDA SPORTS DSTv ndo home
star time ndio mpango mzima mpira tutaenda kuangalia bar ya karibuSasa mie sina decoder yoyote ninunue ipi mkuu?
siku moja moja zikiangukia najilipua na kifurushi cha compact kuvitafuta vidonda vya tumbo Arsenal ikichezaMwaka Wa Nne Huu Nipo DSTV Na Sijawahi Kujuta, Hivi Unaanzaje Kununua Azam Tv au Startimes?
AsanteNunua dstv mkuu
Aixeeee viti vikijaa nitasimamastar time ndio mpango mzima mpira tutaenda kuangalia bar ya karibu