Kudadeki hii ni hasara.
Hoja nyepesi, Toyota is reliable and affordable to maintain.Hata Toyota original kabisa hazipishani bei. Akishafunga muulize siku atakayobadili ni baada ya km ngapi au muda gani? Toyota zipo za bei rahisi ila unabadili Mara ngapi au baada ya km ngapi!?
na hapo bado kuna kifaa kinamiss hakukipata ndio kimeagizwa ambacho si chini ya laki 7Kudadeki hii ni hasara.
yaani 3m inakatika kama masihara wakati huo ni mtaji wa biashara kabisa.
Bora tubaki na toyota zetu tulizozizoea tu misifa mingine tuweke pembeni tu
Yap ni cheap ila kwa spear tulizozoea huku madukani kwetu. Ukizitafuta zile zenyewe ni gharama. Jaribu utaamini. Hiyo haiondoi uhalisia kwamba kwa mazingira yetu, ni vizuri kuwa na Toyota. Si spear tu hata mafundi wetu wanayajua sana.Hoja nyepesi, Toyota is reliable and affordable to maintain.
Mambo ya kujimwambafy ni mateso bila chuki π π π acha niendelee na asante mjapani yangu πππIla ukiona mtu anaagiza gari kama hiyo ujue ameshajipanga Kwa kila kitu....
Haya Magari Kwa maisha yetu ya kuunga itakuwa ndoto kumiliki ingawa wanapata Sana heshima barabaran lkn maumivu yake Kwenye Spare Parts ni makali
Hahahah huko kwa mjerumani ni kwamoto zaidi.Sasa mbona watu wanaeema spea za Nissan ni ghali..?
Mmeona huyo mdudu Aud..?Hiyo compressor hata akisema abangaize used, hapati...
Vigari vya Japani vina raha yake sometimes..
Sent using Jamii Forums mobile app
ni noma hio pesa kutoa toa hovyo hata kama una earn 4M a months. Its worthless kuigawa hovyo kisa gariKuna jamaa angu alikua na hiyo audi.....bas ikizingua fundi akija anakula zake 600k hadi mke wa jamaa akaanza kuwasha moto.....mwisho wa siku jamaa ikabid aiuze maana ndoa ingevunjika kwa sababu ya audi
Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.Huyo bwana mdogo Jerry mbona nasikia ana gharama sana hata ukienda tengeneza Japanese cars...na pia anabambikia gari matatizo yasiyokuwepo
Mkuu wengi wanaagiza hayo magari kwa kuigana, wachache ndiyo unakuta wamejipanga kuja kuyahudumia...Ila ukiona mtu anaagiza gari kama hiyo ujue ameshajipanga Kwa kila kitu....
Haya Magari Kwa maisha yetu ya kuunga itakuwa ndoto kumiliki ingawa wanapata Sana heshima barabaran lkn maumivu yake Kwenye Spare Parts ni makali
Hahaha...gari za mzungu Tamu sana lakini ujiandae kiuchumi na kisaikolojia...wakati mwingine unaweza kuwa na hela likakorofisha kadude kadogo tu, mafundi wakachemka..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hahahah huko kwa mjerumani ni kwamoto zaidi.