Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
alitaka kupiga parefu sana...maisha haya ukipigwa 10k tu inauma sana..[emoji849][emoji849]Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Sent using Jamii Forums mobile app