Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

4M unapata mkuu asiyeamini ana lake sema ndo ubora unaweza ukawa hafifu.
ukipata namba D mkuu ya 4M niunganishe kuna wababe wa vita wanazitafuta Ila isiwe cc3000
 
Hahaha...gari za mzungu Tamu sana lakini ujiandae kiuchumi na kisaikolojia...wakati mwingine unaweza kuwa na hela likakorofisha kadude kadogo tu, mafundi wakachemka..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo harrier ulikuwa unatengeneza kwa 3M ilikuwa na matatizo gani?
 
ukipata namba D mkuu ya 4M niunganishe kuna wababe wa vita wanazitafuta Ila isiwe cc3000
Kitu kingine kinachowakimbiza watu kwenye Brevis ukiacha suala la mafuta kama wengi wanavyolalamika, ni ile engine ya D4....unajua tena wabongo si watunzaji...D4 inataka service ya uhakika ya engine oil, plugs genuine, na mafuta si kuweka kituo ni kituo..lazima uwe na vituo vyenye uhakika mfano Puma na Total.....
Hapa ndiyo wabongo tunapifeli..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.
Mkuu Harrier ilikuwa na tatizo gani ukatengeneza kwa 3m ?
 
Kudadeki hii ni hasara.
yaani 3m inakatika kama masihara wakati huo ni mtaji wa biashara kabisa.
Bora tubaki na toyota zetu tulizozizoea tu misifa mingine tuweke pembeni tu
Ukiona hivyo ujue sio levo yako. We baki na toyo yako. Cha msingi utoke point A to B
 
Kitu kingine kinachowakimbiza watu kwenye Brevis ukiacha suala la mafuta kama wengi wanavyolalamika, ni ile engine ya D4....unajua tena wabongo si watunzaji...D4 inataka service ya uhakika ya engine oil, plugs genuine, na mafuta si kuweka kituo ni kituo..lazima uwe na vituo vyenye uhakika mfano Puma na Total.....
Hapa ndiyo wabongo tunapifeli..[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona D4 za kill time watu wanapambana nazo?
 
Back
Top Bottom