Buti la mkoloni
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 312
- 850
Alaf ni VAT exclusive 😀 pachika na 18%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaf ni VAT exclusive 😀 pachika na 18%
Niliamua kufanya overhaul tu. Ila sensor mbili zilizingua kwa pamoja.Kwa hiyo hivyo vyote vilikufa pamoja, au uliamua tuu kufanya overhaul?
Shockups, mounts & bush ulikua unaendeshaje hiyo gari?
Kuna kifaa nahisi walinichomolea halafu wakakiweka kwenye invoice.Gereji za kishubamiti kabisaa...
Nachukia sana vile vigereji eti wanakuambia huruhusiwi kuingia ndani..mimi niletewe bili tu.....Na wizi ndiyo unafanyika huko
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Spea zinapatikana Amazon we agiza tu gari mamaeeeeMkuu wengi wanaagiza hayo magari kwa kuigana, wachache ndiyo unakuta wamejipanga kuja kuyahudumia...
Halafu kitu kingine kinachowaponza watu ni ile kauli ya kutiana moyo ""Usijali we agiza spea zipo kibao.."Dude linakorofisha kamfuniko ka radiator tu, unazunguka nchi nzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naweza kupatahiyo kwa M4? Nataka na mimi nimiliki gari aise.🤥Vijana wengi wanaoendesha magari ya ulaya wanaugua vichomi vikali sana....Ni vile tu gari ni kama mke, akikupiga usiku, huwezi kutangaza asubuhi...[emoji28][emoji28]
Hiyo gharama akiongeza hapo m1, anamvua mtu Brevis..[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna watu wengine ukimtajia bei anakupa hiyo hiyo uliyosema. Na anaondoka anakuachia mawazo ya kujiuliza ivi kwanin sikumwabia bei hiiMwachieni huyo mkewe atoe hela yeye likikorofisha ili ainjoy comfortability ya kuchakaza account pia. Sio gharama akutie wewe kwa starehe zake.
Polo GTi iko nafuu kidogo kuliko hiyo Audi usifanye masihara na Audi Kwenye matengenezo...
Benz na BMW ni nafuu Kwenye maintain kuliko audi
Polo GTi iko nafuu kidogo kuliko hiyo Audi usifanye masihara na Audi Kwenye matengenezo...
Benz na BMW ni nafuu Kwenye maintain kuliko audi
Naomba picha za hiyo Audi PM na bei yake,pale tu utapoona hii comment.Kuna jamaa kanipa Audi yake nimsaidie kuuza.
Bonge La mtihani,sidhani kama itauzika
Aisee....Tanzania yetu hii..Kuna kifaa nahisi walinichomolea halafu wakakiweka kwenye invoice.
......Gari za ulaya kibongo bongo nafuu hata VW...spea zinapatikana kirahisi kuliko hao wengine...[emoji23][emoji23]Spea zinapatikana Amazon we agiza tu gari mamaeeee
Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...Naweza kupatahiyo kwa M4? Nataka na mimi nimiliki gari aise.[emoji1781]
Tunaoendesha vigari vya Kijapani esp. Toyota tunabezwa sana humu ooh gari mbaya, mbovu, haziko stable na blaah blaah nyengine. Ni sawa ila zinatibika kwa wepesi bila kuua account bank.
Kabla hujajiingiza huko hebu cheki mambo ya Audi A6 huku na hii ni ya 2004. Kwa hisani ya Jerry Spare Parts. Mwenye gari ni bwamdogo mmoja tu kijana wangu.
Jamaa tulia sasa...unacomment pumba nyingi. Sasa subiri zamu ya wamiliki wa European waje.Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...
Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..
TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu
Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae umetokea wapi kama kirusi cha corona..?[emoji849][emoji849][emoji849]Jamaa tulia sasa...unacomment pumba nyingi. Sasa subiri zamu ya wamiliki wa European waje.
Tulia sasa tumeshajua umekunywa maji ya Toyo
Mkuu Ist nitapata kwa M4? Namba c ile..Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...
Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..
TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu
Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kwenye premio mtoe achukue Carina TiUnapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...
Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..
TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu
Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app