Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Sina uzoefu nazoGX mia siyo kichomi kweli?
Kuna Raum old model inataka 2M[emoji23][emoji23]
Jilipue tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina uzoefu nazoGX mia siyo kichomi kweli?
We usitafute matatizo wakati hela ya kununua gari tu unaunga unga mzee. Kwa uchumi wako huo ukinunua Nissan kama itamaliza miezi 6 inatembea barabarani basi uje kutoa shuhuda humu.Nissan TIIDA vipi haifai?
Dah aise yani mtu huna hela ila ukitajiwa jinsi gar ilivyo bei rahis had unaogopa na wakat umeitafuta mwenyeweSina uzoefu nazo
Kuna Raum old model inataka 2M[emoji23][emoji23]
Jilipue tu
Usiogope kuna mtu atainunua kisha atakuja kukuuzia 3MDah aise yani mtu huna hela ila ukitajiwa jinsi gar ilivyo bei rahis had unaogopa na wakat umeitafuta mwenyewe
Kuna muhuni alikua anatafuta mteja wa Mitsubish GDI siku alivyofanikiwa kuiuza akaenda kuswali rakaa 3 kumshukuru mungu [emoji23][emoji23]We usitafute matatizo wakati hela ya kununua gari tu unaunga unga mzee. Kwa uchumi wako huo ukinunua Nissan kama itamaliza miezi 6 inatembea barabarani basi uje kutoa shuhuda humu.
Hio Nissan unayotaka kuuziwa 4M mwenye nayo lazima imeshamkata pumzi anakutupia zigo la mavi. Ni aghali kuifanyia maintanance amini kwamba. Na ikianza magonjwa yake ni ya malaki.
Kwakweli Mitsubishi utakayonshauri kununua ni canter ama Fuso. Mbali na hapo labda Forklift na mitambo mitambo tu.Kuna muhuni alikua anatafuta mteja wa Mitsubish GDI siku alivyofikiwa kuiuza akaenda kuswali rakaa 3 kumshukuru mungu [emoji23][emoji23]
na kama mtu anapiga trip za mkoa mara kwa mara je?Passo nzuri tu haina shida,
Mitsubish L200 ?Kwakweli Mitsubishi utakayonshauri kununua ni canter ama Fuso. Mbali na hapo labda Forklift na mitambo mitambo tu.
Ila kuhusu gari ya kutembelea walishafeli toka kitambo. Pajero hewa, RVR upepo, Mini Pajero chenga! Yani hamna gari angalau ile pickup yao ambayo imenunuliwa na makampuni ya bia na sigara japo sijapata malalamiko yake.
Mkuu hiyo sijawahi kukutana nayo ya bei hiyo..Mkuu Ist nitapata kwa M4? Namba c ile..
Carina Ti nayo nzuri sana kwa kuna uchumi japo imekaa kizee zee..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]hapo kwenye premio mtoe achukue Carina Ti
Nje ya Toyota,Nissan TIIDA vipi haifai?
Kutoa mfano wa mtu wa mkoani point yangu ililenga mtu anayetoka mkoa wa mbali anakuja mathali Dar, anataka alale usiku mmoja tu kesho yake arudi kwao na gari, hapo lazima ashikishwe famba...Umejikita kwenye mtu wa mkoani kuja dar, specifically mtu mshamba. Umesahau si wote walio dar wanayajua magari. Wapo watu hapahapa miaka yote lakini wanapigwa tu, pia kuna watu mikoani humdanganyi kizembe.
Anyway, tulichosema hakiakisi uhalisia ni kununua bravis ya 4M, na ukaingia roadini kutumia bila shida, bila kujenga undugu na karakana. Hilo niko tayari kubeti kwa hela yangu.
Sio kwamba hakuna gari ya 4M isoyo na shida, just not brevis.
Kama umeelewa umeelewa, kama hujaelewa nenda kanunue brevia ya Millioni 4, utaelewa kwa vitendo.
Kichomi chake kipo kwenye mafuta tu, lina kiu sana.... otherwise ni jembeGX mia siyo kichomi kweli?
Kuna jamaa zang wa karibu kama wawil walinunua brevis 2nd-hand kwa wakat tofaut ziliwasumbua sana na hawakumaliza nazo hata miez 6 nao wakuzia msalaba wengine niliziogopa sana kila siku garage...Kutoa mfano wa mtu wa mkoani point yangu ililenga mtu anayetoka mkoa wa mbali anakuja mathali Dar, anataka alale usiku mmoja tu kesho yake arudi kwao na gari, hapo lazima ashikishwe famba...
Pili, sina haja ya kutumia nguvu kubwa kukulazimisha....ninachojua kuna wwtu wamenunua brevis kwa M4 changamoto kubwa labda walikuta matairi umyameisha sana, wakalazimika kuweka mapya...
Note...Mtu akituliza kichwa na asipokuwa na haraka anapata gari la bei rahisi na bado anauwezo wa kuingia barabarani akaenda zake...
Magari yapo mengi kila mtu anauza kwa matatizo yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa zang wa karibu kama wawil walinunua brevis 2nd-hand kwa wakat tofaut ziliwasumbua sana na hawakumaliza nazo hata miez 6 nao wakuzia msalaba wengine niliziogopa sana kila siku garage...
Kuna mdau kasema bora premio kuliko brevis inawezekana aliongea ukwel kias fulan
Point ya mwsho nakubaliana na ww magar ya bei rahis skuiz yako mengi sana tena mazuri
Ukiweka Plug nzuri hupunguza kiu kidogo.Kichomi chake kipo kwenye mafuta tu, lina kiu sana.... otherwise ni jembe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka Plug nzuri hupunguza kiu kidogo.
[/QUOTEUmenikumbusha asee... Kesho nikakague plugs