Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Nakubali ila tatizo letu watanzani gari likishaandikwa Toyota tu, mtu analipa service duni kuanzia oil, plug mtu anaweka moaka zile za buku 4 kwa moja....mabalaa ndiyo yanaanzia hapo..Ukiweka Plug nzuri hupunguza kiu kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app