Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Aise unajua kitaa huwa hatuzingatii kufanya utafit kabla ya kununua gar mwsho wa siku ndo kama hivyo unanunua gar 11M+ alaf baada ya muda mfupi unaamua uiuze hata kwa 4M kutokana na mateso makali unayo yapitia... Juz kat niliona jamaa anauza audi moja Kali sana kwa 7M ile itakua ni msala tuBrevis gari ya class kubwa katika toyota. Ni miongoni mwa zilizowahi kuwa high end Sedans kwa kipindi chake huko Ujapani.
So hata hapa kwetu hivyo hivyo na spear zake ni aghali. Na hii ni pamoja na Mark X na Crown. Ni Toyota ambazo ni aghali kidogo kuzi maintain ndio maana watu wenye kipato ch kuunga unga zikiwashinda wanazipiga bei chee tu kujiepusha na mabalaa.