Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Mambo Hornet ?
Natafuta Toyota Ractis nzuri. Kali.
Namba DC... na kuendelea.
Nikiwa na 5m cash napata?
hapana hazipatikani

zinaanzia 6m kwenda juu Ractis nzuri ni 6.5-7M ya namba za mwanzoni au kati
namba za Mwisho ni ni kuanzia 7m-8M upate gari ya kutembelea isiyo ya mazoezi
 
Achana na hii gari nununua allex au runx hutanisahau
 
Back
Top Bottom