FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Shtueni umasikini nyinyi 😂😂😂 vinginevyo huku hamtafika kamweNdio maana nimemjibu technically najua hata M kwa mwezi kipato hicho hana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shtueni umasikini nyinyi 😂😂😂 vinginevyo huku hamtafika kamweNdio maana nimemjibu technically najua hata M kwa mwezi kipato hicho hana.
Huyo Jerry sasa hivi anausoma huu uzi.Nimesoma uzi huu kwa umakini! Pamoja na mawazo mbalimbali ya wadau juu ya hiyo invoice na gharama za utunzaji wa magari ya Ulaya, kuna tatizo moja ambalo waTZ tunalo. Hii ni haswa kwa wanaomiliki gari za Ulaya...
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Kwani 4m kwa mwezi ndio nyingi? Duuh
Jamani mkihitajia spare za magari na bidhaa nyinginezo kwa gharama nafuu karibu inbox,natumai kutoka south Africa kwa gharama nafuu kabisa. Delivery time ni 10 -14 days. Mzigo wangu wa kwanza kwenda kwa mteja Mwanza Tanzania ambao unaondoka hapa j5 ijayo.View attachment 1622502View attachment 1622504View attachment 1622503View attachment 1622505View attachment 1622506View attachment 1622507View attachment 1622508
Mwenyewe anadai bills ni confidential na hataki kushea na mtu. Tunavyoongea hapa huyu mwana mwenye hio bill kanisusia sababu Jerry Spare kaona hili bandiko kisha ammemaindi kinoma hataki tena wafanye biashara kwa madai amelikisha nyaraka muhimu ambayo ni confidential. Hiki ndio kinafanya wengi wa watu kuitana inbox kwenye biashara za mtandaoni hapa bongo sababu kila mtu anataka ampige kivyake.Mkuu Jerry ana tabia mbaya ya kulazimisha kupata kipato kiingi toka kwa wateja. usipokuwa makini naye na kama ni mtu unayefuatilia hela zako namna zinavyotumika lazma ugombane naye! kwa mfano unaweza mpelekea gari ambayo shida yake ni oxygen sensor tu, hiyo ni asubuh sasa jioni utapigiwa simu na sauti ya kike kuwa gari ipo tayari nenda kaichuke ukifika unakuta invoice ya milioni na ushee utakuta oil zote kaweka, kuna bush kaweka, na vitu vingine viiiiiingi,
ambavyo ilitakiwa ujulishwe kwanza then mkubaliane, shida yake nyingine anataka kile spare/oils akuuzie toka dukani kwake sasa huu ni ujinga maana binafsi huwa nina maduka ninayoyaamin hivyo sio lazma ninunue kwake kingine anapenda sana kulazimisha mteja atumie brand fulan za oil/spares hapo lengo anataka yeye ndo akuuzie mf wewe ushazoea oil fulan kwa gearbox na ndo inayotakiwa na mtengeneza gar basi yeye utakuta anasifia mioil fulan ya uarabun kwa kuwa tu akiuza hizo anapata faida kubwa.
Kwa kifupi japo ni fundi mzuri lakini si muaminifu ukiservice gari kwake tegemea kwenye bili lazma akuibie tena usipokuwa makini anakuibia sanaaaa.
Kama hela ipo hamna tatizo.Dah, wakati mimi hapa najiandaa nikisubiria miaka mitano ipite invite Audi SQ8 ya 2020.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahah bongo kila kitu ni siri yaani mpk bill ya matengenezo ya gari?Upumbavu mtupu huu mzee baba.Mwenyewe anadai bills ni confidential na hataki kushea na mtu. Tunavyoongea hapa huyu mwana mwenye hio bill kanisusia sababu Jerry Spare kaona hili bandiko kisha ammemaindi kinoma hataki tena wafanye biashara kwa madai amelikisha nyaraka muhimu ambayo ni confidential. Hiki ndio kinafanya wengi wa watu kuitana inbox kwenye biashara za mtandaoni hapa bongo sababu kila mtu anataka ampige kivyake.
Swala la bill linatakiwa liwe wazi na room for bargains iwepo. Imagine uende service na hela mbuzi kisha unafika unakuta bill million 1.5 huku budget yako ni laki 6! Ni uhuni wa hali ya juu.
Mkuu Extrovert kweli kabisaa lazima uwazi uwepo kwenye biashara, dah pole kwa yaliyotokea ila meseji sent kwa Jerry abadilike sasa aache janjajanja ajue kuwa kuna mambo watu hawapendi.Mwenyewe anadai bills ni confidential na hataki kushea na mtu. Tunavyoongea hapa huyu mwana mwenye hio bill kanisusia sababu Jerry Spare kaona hili bandiko kisha ammemaindi kinoma hataki tena wafanye biashara kwa madai amelikisha nyaraka muhimu ambayo ni confidential. Hiki ndio kinafanya wengi wa watu kuitana inbox kwenye biashara za mtandaoni hapa bongo sababu kila mtu anataka ampige kivyake.
Swala la bill linatakiwa liwe wazi na room for bargains iwepo. Imagine uende service na hela mbuzi kisha unafika unakuta bill million 1.5 huku budget yako ni laki 6! Ni uhuni wa hali ya juu.
Abadilike kwa kweli jamaa anataka achaji watu binafsi kama vile ambavyo mtu akipeleka gari CFAO, au Diamond Motors au CMC Motors atachajiwa sasa anasahu kuwa magari mengi yanayopelekwa kwenye hizo kampuni ni ya makampuni, NGOs, serikali na taasisi za serikali, au watu wenye mihela yao ambapo kwa hao kupigwa ni sawa maana hapo kuna cha juu cha aliyepeleka kazi na kingine hiyo pesa haimuumi mtu maana si yake.Natumai atabadilika
kama namuona vile alivyomkasirikia huyu aliyeshare invoice hapa jamvini, ila naye mkuda sana eti huwa anataka mteja asiende kule gerejini ndani anataka tu uishie pale kwenye reception uongee na vile vibint vikuzubaishe akupige hela vizuri.Huyo Jerry sasa hivi anausoma huu uzi.
Na anatamani kumloga mtu...[emoji848][emoji848][emoji848][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachukia sana garage za namna hiyo....Sasa kama hatuuziani bangi sijui kwa nini akatae nikaone mzigo wangu unavyofungwakama namuona vile alivyomkasirikia huyu aliyeshare invoice hapa jamvini, ila naye mkuda sana eti huwa anataka mteja asiende kule gerejini ndani anataka tu uishie pale kwenye reception uongee na vile vibint vikuzubaishe akupige hela vizuri.
Hahahahaaa, yule jamaa ana tamaa sana ya pesa, ni mpuuzi mno.Nusu nimchomekee pisto kwa Tako
Dogo mshamba sana yule msomali koko (Mwizi)
Heheheee, kweli kabisa.Mkuu wengi wanaagiza hayo magari kwa kuigana, wachache ndiyo unakuta wamejipanga kuja kuyahudumia...
Halafu kitu kingine kinachowaponza watu ni ile kauli ya kutiana moyo ""Usijali we agiza spea zipo kibao.."Dude linakorofisha kamfuniko ka radiator tu, unazunguka nchi nzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, genuine parts zisikie tu kwa jirani. Kuna kipindi nilitaka kubadilisha upper control arms, kuulizia bei, nikambiwa moja ni dola 250 kabla ya usafiri na kodi. Ilibidi nikatafute tu bush za kitaa niweke.Haha
hahaha japo harrier vifaa vyake ni aghali ila sio kwa million 5 mkuu! Ulikuwa unanua engine nini?
Bosi ile IST yetu tumeshaisogeza??Mambo Hornet ?
Natafuta Toyota Ractis nzuri. Kali.
Namba DC... na kuendelea.
Nikiwa na 5m cash napata?
Bado mkuu, Ila kuna jamaa anasema ameipenda... Anang'ang'ania nimuuzie.Bosi ile IST yetu tumeshaisogeza??