Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Jamani mkihitajia spare za magari na bidhaa nyinginezo kwa gharama nafuu karibu inbox,natumai kutoka south Africa kwa gharama nafuu kabisa. Delivery time ni 10 -14 days. Mzigo wangu wa kwanza kwenda kwa mteja Mwanza Tanzania ambao unaondoka hapa j5 ijayo.View attachment 1622502View attachment 1622504View attachment 1622503View attachment 1622505View attachment 1622506View attachment 1622507
20201105_150118.jpg
 
Ukitia hio hela kwenye passo unaweza kuifanya gari nzima ikawa mpya kabisa.
Passo, siiamn hata kdogo usalama wake, akili yangu inaniambia ni mara mia uchukue IST ukaipige service ya maana
 
Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...

Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..

TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu

Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..



Sent using Jamii Forums mobile app
Nissan TIIDA vipi haifai?
 
Kwa nini haiakisi uhalisia...!?
Magari yamejaa tele ya bei chee na ni mazuri kabisaa...cha zaidi unaweza kukuta matairi yamechoka au urudie rangi mkono mmoja..

Tatizo mtu akishapata hela zake huko, kama anataka gari anaingia mjini kichwa kichwa...anakutana na madalali wanampiga za uso.....

Watu kibao nimeshuhudia wamenunua magari yenye hali nzuri sana kwa bei ya kutuowa mikononi mwa watu...wamepata magari mazuri kwa sababu hawakuwa na wenge wakati wakutafuta gari..

Sasa unakuta mtu katoka kwao katavi, kaingia Dar jumapili jioni, Jumanne anataka ageuze arudi kwao katavi akiwa kashanunua gari...kwa nini asishikishwe na madalali...?
ubmwa kabisa..[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
Umejikita kwenye mtu wa mkoani kuja dar, specifically mtu mshamba. Umesahau si wote walio dar wanayajua magari. Wapo watu hapahapa miaka yote lakini wanapigwa tu, pia kuna watu mikoani humdanganyi kizembe.

Anyway, tulichosema hakiakisi uhalisia ni kununua bravis ya 4M, na ukaingia roadini kutumia bila shida, bila kujenga undugu na karakana. Hilo niko tayari kubeti kwa hela yangu.

Sio kwamba hakuna gari ya 4M isoyo na shida, just not brevis.

Kama umeelewa umeelewa, kama hujaelewa nenda kanunue brevia ya Millioni 4, utaelewa kwa vitendo.
 
Utapata passo piston 3 namba c

Utapata Gx100 or 110 Namba B/C

Utapata vitz old model namba C/B

Utapata Nadia namba B

Utapata swift namba B

Utapata starlet namba B

Chagua unataka ipi
GX mia siyo kichomi kweli?
 
Back
Top Bottom