Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
inaitwa MbucheMkuu Ist nitapata kwa M4? Namba c ile..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inaitwa MbucheMkuu Ist nitapata kwa M4? Namba c ile..
nitatuma nikipata access badae kidogp...Naomba picha za hiyo Audi PM na bei yake,pale tu utapoona hii comment.
aah hapo sawa.. unaigonga service ya maana.. hapo nimekupatanitabaki na Passo
Kwahio hapo ni South Mkuu?Jamani mkihitajia spare za magari na bidhaa nyinginezo kwa gharama nafuu karibu inbox,natumai kutoka south Africa kwa gharama nafuu kabisa. Delivery time ni 10 -14 days. Mzigo wangu wa kwanza kwenda kwa mteja Mwanza Tanzania ambao unaondoka hapa j5 ijayo.View attachment 1622502View attachment 1622504View attachment 1622503View attachment 1622505View attachment 1622506View attachment 1622507View attachment 1622508
Ndio mkuuKwahio hapo ni South Mkuu?
Kwahio hapo ni South Mkuu?
Passo, siiamn hata kdogo usalama wake, akili yangu inaniambia ni mara mia uchukue IST ukaipige service ya maanaUkitia hio hela kwenye passo unaweza kuifanya gari nzima ikawa mpya kabisa.
Utapata passo piston 3 namba cWakuu nitaftien gari ya 3M ila isiwe inakula mafuta (sijamaanisha inywe supu) ila ile mafuta kidogo kama toyo
Passo nzuri tu haina shida,Passo, siiamn hata kdogo usalama wake, akili yangu inaniambia ni mara mia uchukue IST ukaipige service ya maana
Haha,Soweto 1 hiyo chief maana kisarawe sijawahi fika.Mbona kama Kisarawe hapo
Nissan TIIDA vipi haifai?Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...
Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..
TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu
Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejikita kwenye mtu wa mkoani kuja dar, specifically mtu mshamba. Umesahau si wote walio dar wanayajua magari. Wapo watu hapahapa miaka yote lakini wanapigwa tu, pia kuna watu mikoani humdanganyi kizembe.Kwa nini haiakisi uhalisia...!?
Magari yamejaa tele ya bei chee na ni mazuri kabisaa...cha zaidi unaweza kukuta matairi yamechoka au urudie rangi mkono mmoja..
Tatizo mtu akishapata hela zake huko, kama anataka gari anaingia mjini kichwa kichwa...anakutana na madalali wanampiga za uso.....
Watu kibao nimeshuhudia wamenunua magari yenye hali nzuri sana kwa bei ya kutuowa mikononi mwa watu...wamepata magari mazuri kwa sababu hawakuwa na wenge wakati wakutafuta gari..
Sasa unakuta mtu katoka kwao katavi, kaingia Dar jumapili jioni, Jumanne anataka ageuze arudi kwao katavi akiwa kashanunua gari...kwa nini asishikishwe na madalali...?
ubmwa kabisa..[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
GX mia siyo kichomi kweli?Utapata passo piston 3 namba c
Utapata Gx100 or 110 Namba B/C
Utapata vitz old model namba C/B
Utapata Nadia namba B
Utapata swift namba B
Utapata starlet namba B
Chagua unataka ipi