Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polo GTi iko nafuu kidogo kuliko hiyo Audi usifanye masihara na Audi Kwenye matengenezo...Aisee mawazo na effort zangu zote zipo kwa VW Polo GTI...ila nimeanza kuogopa....
Haya matoyota yetu tunaenda nayo kokote Tanzania nzima bila wasiwasi pengine ni zile fujo za barabaran Magari ya kijerumani yanatunyanyasa,lkn arrival ni ileile labda tutapishana masaa tuMkuu wengi wanaagiza hayo magari kwa kuigana, wachache ndiyo unakuta wamejipanga kuja kuyahudumia...
Halafu kitu kingine kinachowaponza watu ni ile kauli ya kutiana moyo ""Usijali we agiza spea zipo kibao.."Dude linakorofisha kamfuniko ka radiator tu, unazunguka nchi nzima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifaa vingine nilikuwa navibadilisha ila vilikuwa vizima sana tu.alitaka kupiga parefu sana...maisha haya ukipigwa 10k tu inauma sana..[emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Vifaa vingine tu.Haha
hahaha japo harrier vifaa vyake ni aghali ila sio kwa million 5 mkuu! Ulikuwa unanua engine nini?
Ana mafundi wake.Huyo jerry ni fundi mwenye gereji ama?mbona hizo bei zake za ajabu hivyo
Ana mafundi wake.
Amespecialize sana kwa European.
Uko sawa sema ungesema unawapa ushauri class gani ya income earners, kama unavyojua kuna classes tofauti
Shockups zote, Bush, Mounts na Sensors kama mbili. Vingine vidogo kama service.Mkuu hiyo harrier ulikuwa unatengeneza kwa 3M ilikuwa na matatizo gani?
Poa mkuuShockups zote, Bush, Mounts na Sensors kama mbili. Vingine vidogo kama service.
Asante mkuu, hii hapana
Shockups, Sensors, Mounts, Bush n.k.Mkuu Harrier ilikuwa na tatizo gani ukatengeneza kwa 3m ?
Kwa hiyo hivyo vyote vilikufa pamoja, au uliamua tuu kufanya overhaul?Shockups, Sensors, Mounts, Bush n.k.
Mwachieni huyo mkewe atoe hela yeye likikorofisha ili ainjoy comfortability ya kuchakaza account pia. Sio gharama akutie wewe kwa starehe zake.Uko sawa sema ungesema unawapa ushauri class gani ya income earners, kama unavyojua kuna classes tofauti
Niko na jamaa angu hapa ako na VW POLO, nmemuonyesha hii post akaniambia tuinywee hii tununue IST au PASSO kumbe mke wake anatusikiliza mara akaja akatuambia comfortability, stability and power .. Ndio tunayatafakari haya 3
Ndio maana ikaitwa Toyota. Ndio gari pekee inayoweza kutembea ikiwa na parts mbovu ila sio kwa European brands.Kwa hiyo hivyo vyote vilikufa pamoja, au uliamua tuu kufanya overhaul?
Shockups, mounts & bush ulikua unaendeshaje hiyo gari?
Kwa nini haiakisi uhalisia...!?Na mimi nilishtuka kidogo nilipoona haiakisi uhalisia.
Gereji za kishubamiti kabisaa...Hapana. Vifaa vingine tu.
Halafu wakati anafanya check up huruhusiwi kuingia kule ndani.
Unaletewa invoice pale pa kusubiria.
Basi itakuwa ni malalamiko ya kweli ambayo nilipata kuyasikia...Nina Harrier niliipeleka akanipa invoice ya 4.6M. Nikachukua list yake nikaenda pale Toyota Kkoo nikanunua vifaa mwenyewe. Mpaka nafunga vifaa vyote gharama ikaja kama 3M. Alizidisha cha juu kama 1.6 kwenye vifaa pekee.