Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Kabla hujanunua European brand kwa mkumbo zingatia

Brevis gari ya class kubwa katika toyota. Ni miongoni mwa zilizowahi kuwa high end Sedans kwa kipindi chake huko Ujapani.

So hata hapa kwetu hivyo hivyo na spear zake ni aghali. Na hii ni pamoja na Mark X na Crown. Ni Toyota ambazo ni aghali kidogo kuzi maintain ndio maana watu wenye kipato ch kuunga unga zikiwashinda wanazipiga bei chee tu kujiepusha na mabalaa.
Aise unajua kitaa huwa hatuzingatii kufanya utafit kabla ya kununua gar mwsho wa siku ndo kama hivyo unanunua gar 11M+ alaf baada ya muda mfupi unaamua uiuze hata kwa 4M kutokana na mateso makali unayo yapitia... Juz kat niliona jamaa anauza audi moja Kali sana kwa 7M ile itakua ni msala tu
 
Aise unajua kitaa huwa hatuzingatii kufanya utafit kabla ya kununua gar mwaho wa siku ndo kama hivyo unanunua gar 11M+ alaf baada ya muda mfupi unaamua uiuze hata kwa 4M kutokana na mateso makali unayo yapitia... Juz kat niliona jamaa anauza audi moja Kali sana kwa 7M ile itakua ni msala tu
Sio Msala tu bali ni anahamishia msiba kwa mwenzie. Vipuri vyenyewe vya mamilioni hivyo unaanzaje kuingia gharama.
 
yeah mie kausafir kangu kalikuwa kanabwia kishenzi nikakatwisha plug mpya now kanagonga 9-10km/l kulingana na condition ya barabara.
 
Unapata ukitafuta kwa kutulia.....ila kama ndiyo mara yako ya kwanza kuanza kumiliki gari, sikushauri uanze na Brevis tena lililotumika bongo.....utachukia magari yote unayoyaona...

Kama unataka kununua mkononi kwa mtu angalau jichange uaze na..

TOYOTA
Premio
Alex
Run x
Ist
Raumu

Haya ni miongoni mwa magari mazuri kwa mtu anayeanza maisha ya gari kama kipato ni cha kawaida..



Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umemtajia familia ya nz[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yap ni cheap ila kwa spear tulizozoea huku madukani kwetu. Ukizitafuta zile zenyewe ni gharama. Jaribu utaamini. Hiyo haiondoi uhalisia kwamba kwa mazingira yetu, ni vizuri kuwa na Toyota. Si spear tu hata mafundi wetu wanayajua sana.
Kwenye mafundi nakubaliana na wewe. Kina gari nimeitelekeza huko mikoani mafundi wameshindwa kujua shida ni Nini. Hapa ndipo nilifika nikatamani Toyota
 
Kuna jamaa zang wa karibu kama wawil walinunua brevis 2nd-hand kwa wakat tofaut ziliwasumbua sana na hawakumaliza nazo hata miez 6 nao wakuzia msalaba wengine niliziogopa sana kila siku garage...
Kuna mdau kasema bora premio kuliko brevis inawezekana aliongea ukwel kias fulan

Point ya mwsho nakubaliana na ww magar ya bei rahis skuiz yako mengi sana tena mazuri
Premio unajiendesha kwa gharama nafuu kuliko Brevis...
Na premio mara nyingi haxina homa ndogo ndogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom