connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Nimehamia Nissan full. Toyota Gari ngumu Kama trektaSasa mbona watu wanaeema spea za Nissan ni ghali?
Mmeona huyo mdudu Aud..?Hiyo compressor hata akisema abangaize used, hapati.
Vigari vya Japani vina raha yake sometimes..
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana hazipatikaniMambo Hornet ?
Natafuta Toyota Ractis nzuri. Kali.
Namba DC... na kuendelea.
Nikiwa na 5m cash napata?
duh! Tutaboa kweli mkuu.. nataka kesho nika close deal nivute ka aud.. sasa hizi comments mbona za kiwaki sanaPolo GTi iko nafuu kidogo kuliko hiyo Audi usifanye masihara na Audi Kwenye matengenezo...
Benz na BMW ni nafuu Kwenye maintain kuliko audi
Jipange Tu Mkuuduh! Tutaboa kweli mkuu.. nataka kesho nika close deal nivute ka aud.. sasa hizi comments mbona za kiwaki sana
hapana hazipatikani
zinaanzia 6m kwenda juu Ractis nzuri ni 6.5-7M ya namba za mwanzoni au kati
namba za Mwisho ni ni kuanzia 7m-8M upate gari ya kutembelea isiyo ya mazoezi