cocochanel Platinum Member Joined Oct 6, 2007 Posts 27,885 Reaction score 76,043 Nov 29, 2024 #2 Wengine kwa Rehema za Mola tukaishi.. Na Tuliingia na kupambana humo humo kwa mengi ya listini Na...
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Nov 29, 2024 #3 Sio kwa Tanzania hii mkuu.... Hao ni watu 18 tofauti mazee.... Wengine tumeingia kwenye ndoa kwa uwezo wa Mungu akatusaidia tu
Sio kwa Tanzania hii mkuu.... Hao ni watu 18 tofauti mazee.... Wengine tumeingia kwenye ndoa kwa uwezo wa Mungu akatusaidia tu
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Nov 29, 2024 #4 chakii said: ..View attachment 3165228 Click to expand... Ukifikilia hayo na kuongelea hayo' huyo sio mke! Mke "must be submissive to her husband" Mke kwa mukutadha wa kiafrika lazima aendane na maelekezo ya mme! Nje ya hapo hakuna mke! Hakuna ndoa! Hakuna familia! Muda si mrefu ni kupigana mapanga na RIP!
chakii said: ..View attachment 3165228 Click to expand... Ukifikilia hayo na kuongelea hayo' huyo sio mke! Mke "must be submissive to her husband" Mke kwa mukutadha wa kiafrika lazima aendane na maelekezo ya mme! Nje ya hapo hakuna mke! Hakuna ndoa! Hakuna familia! Muda si mrefu ni kupigana mapanga na RIP!