Tatizo sio kwamba wanaume wote ni watakatifu ,bali tatizo ni nyinyi wanawake kutumia kisingizio cha kudhalilishwa ili kukwepa ukweli unao wakabili.Kuna wanaume watu wazima ovyo wabakaji wa watoto, wababa wasiohudumia watoto wao na wanaume wasioelewa jinsia yao. Pointi yako ni ipi haswa? Sijaona hoja yako hapa
Tatizo sio kwamba wanaume wote ni watakatifu ,bali tatizo ni nyinyi wanawake kutumia kisingizio cha kudhalilishwa ili kukwepa ukweli unao wakabili.
Mfano mtu kaja kuanzisha uzi unao kemea wanaume wenye sifa hizo ulizo zitaja,je utasema ana wadhalilisha wanaume?
Maana nyinyi wanawake wa siku hizi mmekuwa mkijificha kwenye kichaka cha kudhalilishwa ili kukwepa kuambiwa ukweli.
Yaani huyu jamaa kaleta hoja ya kipuuzi kabisa ,ya kwamba kitu kikisha fanywa na mzazi wako basi ni sahihi kukihalalisha.Mtu yeyote Γwe ni Baba, mama, Mimi, wewe, Yule akitenda Jambo lolote ambalo ni baya anastahili kupewa maneno Mabaya, maneno ya kashfa, matusi, Kejeli n.k.
Unachotakiwa kushauri ni kuwa Mtu yeyote atende Mema ili asitukanwe
Lakini kuwa Mama au Baba haiepushi matusi kama ukifanya upumbavu.
Mama anayetenda Mambo Mema hawezi kuumia akisikia Wanawake wakitukanwa Ikiwa yeye hafanyi mambo mabaya.
So wacha mambo yaende kama yalivyo
Na bora uzi ungeanzishwa na mwanamke,ila umeanzishwa na kidume mzima,sijui hii tabia ya wanaume kujipendekeza kwa wanawake itaisha lini.Akili za kishetani ndivyo zilivyo. Achana nalo.
Uliwahi sikia Sisi Wanaume tukipondwa Kwa Baadhi ya rabi zetu mbaya tukisema sijui unamtukana hata Baba yako.
Huwezi sikia hayo.
Mwanamke kama ni mwema au siΓ΄ Kahaba akisikia Mtu akisema Wanawake ni makahaba yeye anaumia Kwa namna Ipi Wakati yeye siΓ΄ Kahaba?
Wanawake husema Wanaume ni Mbwa mbona Wanaume hatulalamiki. Kwa sababu tunajua wΓ po Wanaume kweli ni Mbwa na wΓ po ambao siΓ΄ Mbwa.
Biblia inaposema Hakuna binadamu mkamilifu hivi unafikiri ni kweli hakuna Watu wakamilifu. Mbona Ayubu alikuwa mkamilifu, Yesu n.k
Bado ni mtoto mdogo huyoUlichokiandika, Kaa Chinini Utafakari, Mwanamke ni Kiumbe mwingine kabisa na Viumbe Vyote.
Kama haujakutana na Matukio/ Show za Kibabe za Wanawake unaweza sema unavyoweza, Hata Hizi Ndoa. Kuna mengi wanaume wanayapitia ila watu wanakufa na Tai shingoni, mwanamke msikie tu kwa Jirani yako.
Ukitaka kufurisika Cheza na wanawake,Hata mke pia sio mtu wa kumuamini.
NOTE
Unaishi Nyoja ndani one day utakuja kuelewa kua mwanamke ni nyoka, na pia mwanamke anaushetani ndani yake.
Yakikufika hii iwe kumbukumbu yako.
Mkuu mi sio mtu wa kuwasema wanawake ila hapo kwenye kusema wanawake wanavyo wachukulia wanaume mbona iko wazi na wanasema wao wenyewe kila siku na ndo sababu ya kuwa na hawa feminist kila kona au mi sijaeelewa target ya jibu lako kwa mjumbe.Huna hoja. Kwani unajua namna wanawake wanavyowaelewa wanaume? Je nao wakiwa vipofu na kufanya hitimisho la jumla juu ya wanaume utajisikiaje? Kama kweli hutaki kumwamini mkeo kwanini unamwamini mama yako wakati naye ni mwanamke? Jenga hoja badala ya kurejea yale yale ya kikale.
hawa ndio wanakuja na hoja za kipuuzi mzazi hakosei MZAZI ndio nan kwan kam amezaliw n mwanadam anakosea na mzazi anawekwa chini anachanwa kwa mungu akuna laan za kipumbavuYaani huyu jamaa kaleta hoja ya kipuuzi kabisa ,ya kwamba kitu kikisha fanywa na mzazi wako basi ni sahihi kukihalalisha.
Ukikua utakuja kufuta hii kauli yako bata wahed!Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Fwak you canine. Ungejua mie ni baba yako wala usingeniita bata wahedi kama siyo kumbaff namba wahedi.Ukikua utakuja kufuta hii kauli yako bata wahed!
Kwenye mitandao ya kijamii kati ya wanawake na wanaume ni kundi gani linalo ongoza kujidhalilisha?Si jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
KWENYE kumjibu kwa kumtukana umekosea, Ukiwa kama FATHER of ALL, hoja yako inapenya vema kwa kila mmoja. Ila ukianza kujibishana kwa matusi, kisa amekutukana, tuna mashaka na UBABA WAKO....Baba huwa na busara siku zote, hata mama akibwatuka, watoto bado BABA ana BUSARA.....be real Father....tchao...Sikujua kuwa nawasiliana na kichaa na mpumbavu anayeweza kumuita baba yake kenge. Kumbe wewe ni msennnngeee!
Na bora uzi ungeanzishwa na mwanamke,ila umeanzishwa na kidume mzima,sijui hii tabia ya wanaume kujipendekeza kwa wanawake itaisha lini.
Acha kutetea maovu kwa kisingizio cha mama kwa hiyo unahamasisha wanaume waoe malaya wabambikwe watoto na waambukizwe magonjwa kwa sababu ni wanawake kama mama yake? Acha utotoSi jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
πππ Kenge weweFwak you canine. Ungejua mie ni baba yako wala usingeniita bata wahedi kama siyo kumbaff namba wahedi.
Hiyo haiondoi ukweliSi jambo geni hapa JF kusoma nyuzi zinazowadhalilisha, kuwahukumu, kuwahujumu, kuwabagua, na mambo mengine kama hayo.
Je wakati ukifikia uamuzi wa kufanya hayo hapo juu.
1. Huwa unajikumbusha kuwa hata mama yako ni mwanamke?
2. Wakati ukitaka wanawake wawe na bikra ila si wanaume, huwa unajiuliza kama bi mkubwa wako alipoolewa alikuwa nayo?
3. Huwa unajiuliza kuwa ungekuwa mwanamke ungetaka utenzwe vipi?
4. Huwa unajiuliza kuwa wanawake ni wanadamu kama wewe?
5. Je, huwa unajitathmini kuona kama uko sahihi au la?
6. Je, huwa unakumbuka kuwa bibi, dada, na shangazi zako pia ni wanawake?
7. Je, kuna aliyetuma maombi kwa muumbaji aumbwe alivyo?
8. Je, huwa unajua kuwa huu ni ubaguzi wa kijinsia?
9. Je, hukumu zako na wengine kama wewe ni majibu ya tatizo?
10. Je, dunia nzima ingekuwa ni wanaume watupu wewe ungekuwa wapi?
Kama sio bikra usioeMwanamme wa kweli anajiamini ktk uanaume wake hahitaji kushindana wala kumshusha au kudhalilisha mwanamke ili aonekane kidume
Ukiona mwanamme kila siku yeye ni kushindana na wanawake kuwaponda ili yeye aonekane ana maadili, ujue anashida kubwa anatamani kuwa wanawake na yeye