Kabla hujenda kulala pitia hapa.

Mimi kwetu Simbawanga pale kwenye mbuyu mnene uliojaa misumari na vitambaa. Familia yetu kila mmoja anamiliki private jet yake(ndege ya ungo). Cell phones zetu kichungu kidogo hata wewe hapa nakuona.[emoji6]
Ooh bila ya kusahau Mshana jr, Mzizimkavu na Jichawi hao cousin zangu.[emoji12] [emoji106]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kwa nini Ile Siri ivyo mkuu wanaficha nini?
wewe si mgeni utaelewa tu mbele wana ficha nini ila kaa ukijua jf kuna MATAPELI ,MAJAMBAZI,WACHAWI,WAGANGA WA KIENYEJI,MAWAZIRI NA MANAIBU WAO,MA KADA NDO WAZEE WA FUJO JUKWAA LA SIASA LIZABON NA WENZIE UVCCM, MAKADA WA BAVICHA , MA PROFESA WAPO UMU SO JF NI PANA SANA NDO MANA KUKUTA WENYE ID ZA KWEL ZENYE MAJINA YAO LABDA 5 KWA 100
 
Nikipata mamlaka kubwa serikalini nitaurekebisha u mtandao maana haiwezekan watu wasijulikane Kwao wapi
 
IV watu wa jamii Forum Kwao wapi naona wanatoa maoni tu ila Ata namba zao za simu hazionekani wala wao hawajulikan wanaish wap. Ukitaka kukoment uzi u jitaje kwako wap
Mbona Profile yangu inaonesha location yangu ni uvunguni... We hujaona...?

Mods rudisheni ile style ya zamani ya kuonesha lacation....
 
Miandiko ya watu inazidi kuwa migumu,nimetumia sekunde nyingi kujua IV inamaanisha nini
 
Matamanio ya watu kuzidi kufahamiana yanazidi kuongezeka jf pia inakuwa watu wengi zaid. KILA homosapiens na mitizamo Yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…